Msaada lodge nzuri Morogoro

Msaada lodge nzuri Morogoro

Hata bure silali...si hii opp na ukuta w msamv mkuu? Wanajilazaga wasukuma hapo wanaoenda ifakara balaa hahaa nadhan ni 10k
Ulienda mwaka gani ?
Ushawahi kuilalia.?
Mbona unachosema.ni tofauti na nilichokuta

Maana mi mara mwisho kwenda moro ilikuwa 2019 na niliikuta nzuri tu bei sio 10k

Na vyumba vizuri tu self contained sijawaona wasukuma

Tena imetulia imejitenga yenyewe pembeni mwa ukuta wa Msamvu
 
12,000 -14,000 hiyo itakuwa ni guest house.
Hamna sio guest

Morogoro kama haiongozi nadhani inafatia kuwa na nyumba za kupumzikia nyingi mnoo

Guest kule zinaanza 4000 mpka 8000 chache ndo 10000

Lodge kule mazingira mazuri vyumba safi self contained usalama upo vinaanza kuanzia 12000 kama sikosei au 14000 nadhani nasemea lodge kabisa mkuu sio guest ilichangamka

Ndo kitu ninachopendea ule mkoa mambo easy na cheap.
 
Tatizo dau lako ndo Dogo mkuu!! Lodge za 15 na 25 sio nzuri kivile hasa hizi za msamvu kuna makelele huwezi pumzika kama unataka kupumzika.... Zipo lodge maeneo tofauti lakini sio mjini kali, safi na zina utulivu wa kiwango cha juu ila bei ndo kuanzia25.. Adi 50
 
Ulienda mwaka gani ?
Ushawahi kuilalia.?
Mbona unachosema.ni tofauti na nilichokuta

Maana mi mara mwisho kwenda moro ilikuwa 2019 na niliikuta nzuri tu bei sio 10k

Na vyumba vizuri tu self contained sijawaona wasukuma

Tena imetulia imejitenga yenyewe pembeni mwa ukuta wa Msamvu
Kuna mgeni mama alisema nimpokee then asbh aende ifakara kukwepa majukumu nikaamua kjmlaza hapo...ile naingia kuchek rooms nakuta koridoni kuna harufu ya kinyesi nikamuask mhudumu ..akasema mwenzngu acha tu hii gest wanapenda kufikia wasukuma so kuna mtoto alikuja amejisaidia...kuchek vyumba vibovu balaa tuvitanda tubayaaaa tudogoo mwe sikuaga ..feb hii mkuu!hakuna room ya 15k pale ..labda mnaangaliwa na sura zenu
 
Hivi kuna tofauti gani kati ya Lodge na Guest House ?
Zote zina maana sawa ili zinatofautiana kwenye

Sehemu /location
Guest zipo Madongo kuinama sehemu flani hivi za kikontawa kama huku kwetu Manzese ila lodge zipo sehemu ya ustaarabu

Umiliki
Mara nyingi.wenye guest ndo wanakaa hapohapo na wafanyakazi ndo family member wa hapo tofauti na lodge inaajiri watu

Aina ya wateja.
Wateja wa guest wanajulikana tu tofauti na lodge

Huduma
Guest kama hutalala na kunguni basi utapigwa chabo sometimes unakuta ni chumba tu hakina bafu ndani shuka lina ramani taulo chafu ila lodge ni nzuri kidogo ina huduma yenye high quality

Nyengine zinahuduma ya catering /msosi
ila guest unaingia unatoka kama kiota
 
Hamna sio guest

Morogoro kama haiongozi nadhani inafatia kuwa na nyumba za kupumzikia nyingi mnoo

Guest kule zinaanza 4000 mpka 8000 chache ndo 10000

Lodge kule mazingira mazuri vyumba safi self contained usalama upo vinaanza kuanzia 12000 kama sikosei au 14000 nadhani nasemea lodge kabisa mkuu sio guest ilichangamka

Ndo kitu ninachopendea ule mkoa mambo easy na cheap.
Yaani ww gest ya 12k unaisifia hvyo? Hahahaa ukiishi karibu na mm uta🙌!kuna lodge mwanza ukiingia unavua maviatu yako bila kuambiwa..sijui nikuelezeje
 
Kuna mgeni mama alisema nimpokee then asbh aende ifakara kukwepa majukumu nikaamua kjmlaza hapo...ile naingia kuchek rooms nakuta koridoni kuna harufu ya kinyesi nikamuask mhudumu ..akasema mwenzngu acha tu hii gest wanapenda kufikia wasukuma so kuna mtoto alikuja amejisaidia...kuchek vyumba vibovu valaa tuvitanda tubayaaaa tudogoo mwe sikuaga ..feb hii mkuu!hakuna room ya 15k pale ..labda mnaangaliwa na sura zenu
Tobaa hadi mavi sio poa

Labda lakini Mi sijui hayo kwakweli mi nilikutaga pako vzr tu nikahid kabisa siku nikirudi natua hapahapa
 
Ulienda mwaka gani ?
Ushawahi kuilalia.?
Mbona unachosema.ni tofauti na nilichokuta

Maana mi mara mwisho kwenda moro ilikuwa 2019 na niliikuta nzuri tu bei sio 10k

Na vyumba vizuri tu self contained sijawaona wasukuma

Tena imetulia imejitenga yenyewe pembeni mwa ukuta wa Msamvu
Mm nikilala hapo 2011 na 2012
 
Yaani ww gest ya 12k unaisifia hvyo? Hahahaa ukiishi karibu na mm uta!kuna lodge mwanza ukiingia unavua maviatu yako bila kuambiwa..sijui nikuelezeje
Kwa bajeti yangu ndogo kama hyo kama umekuta huduma nzuri na salama lazima uisifie kama vile mtoa mada alivyosema anaitaji kuanzia 15k

Hajasema ya gharama

Of course ya gharama sanaa lazima unyooshe mikono jua maana huduma zinaendana pesa yako
 
Nimekumbuka mbali sana, enzi hizo moro ipo hot sio siku hizi mjini pamepoa sana

Patachangamkaje wakati 85% ya 'Waliolala' Usingizi wao wa Milele kule 'Kola' hicho 'Kilichowalaza' na 'Kuwakondesha' kama 'Chelewa' walikitoa katika hiyo hiyo ( hii hii ) Lodge 'Kongwe' Morogoro Mjini Ndugu?
 
Kwa bajeti yangu ndogo kama hyo kama umekuta huduma nzuri na salama lazima uisifie kama vile mtoa mada alivyosema anaitaji kuanzia 15k

Hajasema ya gharama

Of course ya gharama sanaa lazima unyooshe mikono jua maana huduma zinaendana pesa yako
Point hapa sio gharama..point hapa ni quality
 
Patachangamkaje wakati 85% ya 'Waliolala' Usingizi wao wa Milele kule 'Kola' hicho 'Kilichowalaza' na 'Kuwakondesha' kama 'Chelewa' walikitoa katika hiyo hiyo ( hii hii ) Lodge 'Kongwe' Morogoro Mjini Ndugu?
Acha kabisa, kahumba palitisha sana enzi hizo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom