Msaada lodge nzuri Morogoro

Msaada lodge nzuri Morogoro

Wachangiaji wengi wameshindwa kuelewa swali, mtu ameuliza lodge ya kiasi cha 15,000 hadi 25,000 alafu watu wanamtajia Hotel ya Flomi ambapo usingizi mmoja unalipia 120,000

Jamaa wanataka mwenzao ashindwe kumudu gharama
 
Kuna lodge iko nyuma ya jengo la Hotel ya Morena, alinipeleka boda boda mmoja. Aisee kumbe wakipeleka mteja wanakula commission.
Sure naijua..kuna mlokole mmoja anajifichiaga hapo ananywea hapo..dah maisha haya..ni famous Moro...ana kanisa lake..so hucho ndo kijiwe chake..anakunywa hapo jumapili anahubiri kanisani
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom