King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 60,341
- 88,512
Angalizo: Hakikisha hamtumii Viagra.
Duuh, lodge ya 12 iwe nzuri kweli? Hayo mashuka anayafua kila siku na dawa chooni anaweka na manukato?Sikumbuki vzr ila ina range kwenye 12-14000 hapa
Kumbe wewe ndio unamtuma Demi! Adhabu yako nilishaiandaa...brush dk 45 bila huruma.Bora waseme wengine waha mmezidi jamani🙌
Hapana nataka nimeelekeze ya karibu na atakapo fikia.bodaboda wanaweza mpeleka nanenane wakati mtu shughuri zake zitakuwa SUA.Unataka kumkaba ??![]()
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌🙌!no comment hapo dah .itakuwa lini sijui🤗🤭Kumbe wewe ndio unamtuma Demi! Adhabu yako nilishaiandaa...brush dk 45 bila huruma.
....tena ninahisi ya 'Short time'!!12,000 -14,000 hiyo itakuwa ni guest house.


....Ni Piece - Kipande ama Peace - Amani, Mkuu??Piece mountain lodge hii ipo maeneo ya rock garden eneo la utulivu sana upepo na kijani ya kutosha sana vyumba Safi aisee binafsi kila napoingia moro hujikuta naingia pale
Adhabu yako itatekelezwa bila huruma wkend ijayo. Umeshirikiana na Demi kunidhalilisha sana Mluguru wewe.🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌🙌!no comment hapo dah .itakuwa lini sijui🤗🤭
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣! Ndugai kiboko yako ww...!Adhabu yako itatekelezwa bila huruma wkend ijayo. Umeshirikiana na Demi kunidhalilisha sana Mluguru wewe.
Gm 30? Lowest ilikua 45 i thnk! Chaka langu kule juuNenda GM IPO town Jirani na new life mtaa wa Uhuru. IPO poa clean tulivu saafi na lift ipo active 30k
Kabisa
Ha haha kumbe wewe mhaOle wako nikukamate...
cc: Wangari Maathai
Longido ila nililala kitambo kidogo ni nzuri sanaHabari wakuu
Soon nitaelekea morogoro naomba msaada wa kujua lodge nzuri
Location-Morogoro mjini
Range from 15k-25k
Natanguliza shukrani