Msaada lodge nzuri Morogoro

Msaada lodge nzuri Morogoro

NENDA LYAMUNGO LODGE,NI KAMA UNAENDA SUA MAIN CAMPUS ILA UTAKATA KULIA (UKIWA SUA ROAD),25k ila utalala kwa amani kabisa,nakukumbusha usilale nyumba ya 10k,utapata taabu sana;
Eeh utajuta
Kuna siku nililala guest ya elfu kumi , usiku ulikuwa mrefu mno . Nikaondoka saa kumi na mbili kamili .
 
Piece mountain lodge hii ipo maeneo ya rock garden eneo la utulivu sana upepo na kijani ya kutosha sana vyumba Safi aisee binafsi kila napoingia moro hujikuta naingia pale
Mitaa hiyo inaonekana pazuri
Bei yake je ?
 
Habari wakuu

Soon nitaelekea morogoro naomba msaada wa kujua lodge nzuri

Location-Morogoro mjini

Range from 15k-25k

Natanguliza shukrani
Kwa nini mkuu mnapendaga kulala lodge za bei ya chini hivyo? Hujihurumii? Hizo wale jamaa zangu wa short time huwa wanazichafua mno! Tafuta ya kuanzia 30 and above!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom