1. Kuna usalama ??
Hapo nilipoenda usalama ulikuwepo ndio ..pia imezungukwa na ukuta
2. Maji ya moto (heaters) ?
Hapana
3. AC ?
Ipo feni ile ya juu ya umeme
4. Packing ??
Sio kubwa
5. Mataulo masafi ??
Ndio
6. Mashuka masafi ?
Ni masafi meupe
7. Usafi wa mazingira ??
Wako vizuri
8. Ambiance ??
Mandhari ni mazuri sio mabaya
9.plus wahudumu wako vizuri kuhudumia unasikilizwa
Hio ni chini ya 15
Nb
Sasa ukiwa na bajeti kama 20k na kuendelea unaweza kuta nyengine ndo zina kama heaters.
Sasa kama mtoa mada mwenye bajeti ya 15k anashindwa vip kui enjoy hapo