Habari wakuu
Soon nitaelekea morogoro naomba msaada wa kujua lodge nzuri
Location-Morogoro mjini
Range from 15k-25k
Natanguliza shukrani
Hivi kuna tofauti gani kati ya Lodge na Guest House ?12,000 -14,000 hiyo itakuwa ni guest house.
Asante MkuuSikumbuki vzr ila ina range kwenye 12-14000 hapa