Kunguru wa Manzese
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 12,729
- 18,219
Hata mimi nasema hivyo kuanzia ma pub,.bar, mpka ma club na kuna hio.mitaa hiyo kama.Kama kuna Mkoa ambao leo hii nikiambiwa niuteue kuwa Kinara wa UKIMWI ( Solo Gitaa ) Tanzania nzima wala sitochelewa Kuutaja Mkoa wa Morogoro.
Mafiga
Mafisa
Chamwino
Huko ndo balaa wanawake wamekuwa kama kuku wa kisasa
Sijui sahivi hali ikoje huko
Morogoro ni balaa