Amesema Morogoro MjiniMorogoro ni kubwa,unaenda moro sehemu gani?
Hata hii ni nzuri pia.Neema lodge Msamvu ni nzuri
Bei yakeNeema lodge Msamvu ni nzuri
Sikumbuki vzr ila ina range kwenye 12-14000 hapaBei yake
Mi ndo naipendagaHata hii ni nzuri pia.
Hata bure silali...si hii opp na ukuta w msamv mkuu? Wanajilazaga wasukuma hapo wanaoenda ifakara balaa hahaa nadhan ni 10kNeema lodge Msamvu ni nzuri
Hata kusoma huwezi?Morogoro ni kubwa,unaenda moro sehemu gani?
Hiyo pesa ni ya gesti tu mkuuHabari wakuu
Soon nitaelekea morogoro naomba msaada wa kujua lodge nzuri
Location-Morogoro mjini
Range from 15k-25k
Natanguliza shukrani
Hahaaa usiku majeshi ya kunguni yanakupigia gwarideHata bure silali...si hii opp na ukuta w msamv mkuu? Wanajilazaga wasukuma hapo wanaoenda ifakara balaa hahaa nadhan ni 10k
Anglican church hostelHabari wakuu
Soon nitaelekea morogoro naomba msaada wa kujua lodge nzuri
Location-Morogoro mjini
Range from 15k-25k
Natanguliza shukrani
12,000 -14,000 hiyo itakuwa ni guest house.Sikumbuki vzr ila ina range kwenye 12-14000 hapa
NENDA LYAMUNGO LODGE,NI KAMA UNAENDA SUA MAIN CAMPUS ILA UTAKATA KULIA (UKIWA SUA ROAD),25k ila utalala kwa amani kabisa,nakukumbusha usilale nyumba ya 10k,utapata taabu sana;Habari wakuu
Soon nitaelekea morogoro naomba msaada wa kujua lodge nzuri
Location-Morogoro mjini
Range from 15k-25k
Natanguliza shukrani
Kuna nyingine ina jina hilo ipo upande ule wa kuelekea Mafisa.😂😂😂😂😂Hata bure silali...si hii opp na ukuta w msamv mkuu? Wanajilazaga wasukuma hapo wanaoenda ifakara balaa hahaa nadhan ni 10k