Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,924
- 95,761
Kuitumia JF kutoroka nchi ni crime!
Yani watanzania waache kula pande la fenesi la tshs100 akale apple?we jamaa wewe dahhhh!mwache kijana akauze apple pritoria wewe...!Kwani hapa tz hakuna kazi za kuuza apple?[emoji32][emoji32][emoji32]
Masuala ya elimu tuachie sie. Wewe jadili masuala ya wacongoman na mapapaKuna elimu inaitwa masters? Yani wewe hapa ndio umejiaminisha una elimu kubwa?
Kumbe huo mtandao wa Match.com kumbe kuna mambo ya kulipia kwa pesa,kweli hakuna cha bure dunia hiiKama unatamani sana kwenda kuishi Ulaya
1. Fanya kazi ya u porter mlima Kilimanjaro ujenge ukaribu na wateja. Ukipata anaekupenda ng'ng'ania.
2. Ingia match.com
Unalipia Tena kwa Visa card, ukimpata mbibi unakomaa nae mtembeleaneKumbe huo mtandao wa Match.com kumbe kuna mambo ya kulipia kwa pesa,kweli hakuna cha bure dunia hii
Duh sawa mkuu.ungenipa hata hilo shamba au kunifanyia connection ya kazi nahisi ni busara zaidi
Pumbavu zao sana,sasa kwa sie tusio na ajira kila kitu kwetu kitakuwa ni kigumu sanaUnalipia Tena kwa Visa card, ukimpata mbili ubakomaa nae mtembeleane
mkuu mi vyote ninavyo hapo mwongozo wako tafadhaliTukianza kwanza una passport pili pesa naweza sema Milion unayo.???
mkuu mi vyote ninavyo hapo mwongozo wako tafadhali