Msaada: Kutafuta maisha nje ya Tanzania

Msaada: Kutafuta maisha nje ya Tanzania

We kaa Tz uuze karanga unaanza kuniuliza mimi tena masuala ya kupata passport [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] rudi kalime.
Duh sawa mkuu.ungenipa hata hilo shamba au kunifanyia connection ya kazi nahisi ni busara zaidi
 
kama hapa Bongo umeshindwa kutafuta hata nauli basi nje ya Nchi utafungwa tu na hata hela ya chakula hautapata.wapi LE MUTUZ ampe ushauri huyu kijana.usifikiri kupata hela nje ni rahisi hivyo
Wakuu.
Natumai mu wazima wa afya.
Niko serious na jambo hili nimeamua kutake risk sihitaji ushauri wa kuniambia nibaki please NIMEAMUA KU TAKE RISK
---------------------------------------
Mimi ni kijana umri wangu ni miaka 20.
Elimu:kidato cha nne
Jinsia:mwanaume
Lugha:swahili na english.
Ninahitaji kwenda kutafuta maisha huko ughaibuni isipokuwa nchi za uarabuni.
kwa sasa sina pesa za kunipeleka huko lakini naahidi endapo kuna msamaria atanigharamia nikifika huko nitasaini hata mkataba wa kufanya kazi yeyote ya halali mpaka nitakaporudisha gharama zake zote na riba endapo atahitaji kisha niendelee kufight kivyangu.
Nisingependa kuweka mawasiliano hapa kwa yeyote ambaye yupo tayari naomba anisaidie.KWa MAWASILIANO ZAIDI NAOMBA UNIPM
Naamini sitomwangusha.

Ntaleta mrejesho

Cc@Nyani ngabu
 
wale wenzako wanaozamia unakuta hata wamejipanga kabla ya kuanza safari angalau wana hata dola 5000 au 3000 mfukoni wewe hata passport na nauli huna.umevuta bangi au unatak kwenda Burundi tu hapa
Sasa mkuu Kama huna passport 50000 uzi wa nini au mzamini mpaka wa passport unatafuta [emoji23][emoji23][emoji23] jokes
 
Kuwa porter sio kuibuka tuu ni kazi ngumu ever lazima uwe na afya tena bora kabisa kama unashida ya Kifua, moyo, pumu au mommy's little boy you will die on the first day (sikutatishi tamaa) kazi zipo kipindi cha high season porter kumbuka unabeba mzigo haswa wa wageni au Choo au jiko etc,,, atleast mountain guide hii inahitaji kibali kabisa sio kulala na kuamka it's take time
 
Unless ingia viwanja uwinde Kama wawindaji wengine (flycatcher) [emoji23][emoji23]
 
kama hapa Bongo umeshindwa kutafuta hata nauli basi nje ya Nchi utafungwa tu na hata hela ya chakula hautapata.wapi LE MUTUZ ampe ushauri huyu kijana.usifikiri kupata hela nje ni rahisi hivyo
Sawa
 
wale wenzako wanaozamia unakuta hata wamejipanga kabla ya kuanza safari angalau wana hata dola 5000 au 3000 mfukoni wewe hata passport na nauli huna.umevuta bangi au unatak kwenda Burundi tu hapa
Sijawahi kuvuta Bangi ila ahsante kwa ushauri
 
ushauri wangu kamanda kama lugha inapanda ni afadhali hata ukaanze na kazi ya utalii Arusha na uanze kwanza kuzoea kufanyakazi na wazungu na kujua ukienda nje ungependa kwenda kufanya kazi zipi.kila la kheri

Sawa mkuu
 
Back
Top Bottom