Stralis
JF-Expert Member
- Dec 8, 2013
- 618
- 613
Mkuu unahisi gharama mpaka nifanikishe ni shilingi ngapi?
Tafuta mtu wa kuja kukudhamin kwanza uwe na mtu hapo Rundu au Grootf.
Mkuu unahisi gharama mpaka nifanikishe ni shilingi ngapi?
Kama unatamani sana kwenda kuishi Ulaya
1. Fanya kazi ya u porter mlima Kilimanjaro ujenge ukaribu na wateja. Ukipata anaekupenda ng'ng'ania.
2. Ingia match.com
Kuku hula sawa na mdomo wake! Kama hujafikia kiwango hicho cha elimu achana na ndoto za kuzamia nje. Zama ndani yote maisha ili mradi utoke kimaishaSikua na wa kunisomesha
Mkuu unahisi gharama mpaka nifanikishe ni shilingi ngapi?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkui mm ni rayvan rapa wa huku mbagala kwa bibi nyau sina nacho miliki zaidi ya Mambupu
Duh hii ndio wazungu wanaita tall order, kwa kiswahili kazi ipo. Kwa Marekani form four na miaka ishirini viza ya shule itakuwa ngumu. Mualiko wa kutembea ndio kabisaaa.
Itabidi uwaone wataalamu wa visa mtu akikusaidia ajue cha kufanya. Ila tabu ya Bongo unaweza kutapeliwa wewe na anaekusaidia.
Kwa kifupi njia rahisi na ya uhakika ni kuoa Ulaya au Marekani. Siku hizi mitandao mingi. Chokonoa kuwa mtundu ukipata mchumba hata mtu akikusaidia anakusaidia kwa kukupitia huyo mchumba.
Unafika nje na vibali vya kazi unaanza maisha na shule kifua mbele.
Nakumbuka siku ya kwanza kuingia Ulaya (Ujerumani) baridi ilikuwa -3. Usiku mwenyeji akatupeka klabu kutafuta wachumba. Kuna wanawake wa kizungu wanapenda sana watu weusi.
Kwa kipindi hicho ilikuwa ukioa tu wajerumani wanakunyooshea mambo yote. Hata kama huna kazi wanakulipa. Walichotaka ni kuona unajitahidi kupata kazi tu. Kuna karatasi unaenda kwa waajiri wakikunyima kazi wanakugongea kamuhuri.
Kwa kifupi Ulaya na Marekani cha muhimu ni vibali vya kuishi. Na njia ya uhakika kuvipata ni kuoa au kuolewa kwa mwanamke.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kama unatamani sana kwenda kuishi Ulaya
1. Fanya kazi ya u porter mlima Kilimanjaro ujenge ukaribu na wateja. Ukipata anaekupenda ng'ng'ania.
2. Ingia match.com
Nimefurah kusikia unamiliki mapumbu tuu, sasa rungu liko wapiNicheke tu, ww si unaingiza chochote kwa siku..
Nimefurah kusikia unamiliki mapumbu tuu, sasa rungu liko wapi
Kivipi mkuu?Nan kakuambia south africa kunaingilika kirahisi hivo kama safari yako ijaishia Tunduma ukaibiwa kila kitu na mchezo ukaishia hapo.
Nasikiliza kila ushauri maamuzi ni juu yangu ahsanteKuku hula sawa na mdomo wake! Kama hujafikia kiwango hicho cha elimu achana na ndoto za kuzamia nje. Zama ndani yote maisha ili mradi utoke kimaisha
Mkuu sina passport,million pia sinaTukianza kwanza una passport pili pesa naweza sema Milion unayo.???
Karibu mkuuTutaondoka wengi na huu uzi, naweka siti humu
Sijakata tamaa nimeamuaMiaka ishirini umeshajikatia tamaa kabisa! tafuta cha kufanya hapa hapa nyumbani.
PoleMimi nilizamia tu hapo Kenya maisha yalinipiga kidogo niwehuke, ilibidi niibe nauli nirudi Bongo kwa spidi...msiwadanganye watu. Unafika south unashindia makande sasa ndo umezamia nini??
Kivipi mkuu?
Mkuu hebu nicheki PM tuunganeHebu tuelezee connection za uporter tunazipataje..