Msaada: Kutafuta maisha nje ya Tanzania

Msaada: Kutafuta maisha nje ya Tanzania

Nafikiri kuna kazi umekuja kuitafuta humu JF maana inaonekana kila kitu wewe hujui au huna na unahitaji msaada..

Kijana usihofu mda si mrefu tutakuja kukusaidia, utalala,kula na kuendesha magari mazuri mjini buree kabisa na wala hutohitaji kwenda tena huko ughaibuni utaishi vizuri tu kijana usihofu..
Labda hujaona vizuri.
Rejea[emoji116] [emoji116] [emoji116]
MACHO YANATAKA KUONA.
 
Hao wa mbele wakishafika huku bongo hawataki kurudi kwao halafu ninyi mnataka kwenda mbele
 
asylum-jpg.669605
 
Channeli Ten: Toka Ughaibuni
Dhoruba iliyotokea Siku ya kwanza Ughaibuni na fikra kutanuka

Source: Ughaibuni media
 
Back
Top Bottom