Hajto
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 5,652
- 5,633
Hii ya kuzamia ni ngumu sana kipindi hiki kwenye mabandariNenda kwenye meli uzamie hakikisha unakuwa na mikate ya kutosha meli kutoka hapa mpk Germany itakuchukua two months ukifika German.. utapanda gari mpk mji wa Hamburg ukifika hapa nenda magharibi ya Germany vuka boda mpk nchi ya Luxembourg.. ukiingia hapa ushatoka ki life..... utawavuta wadogo zako na ukoo wako.... ni hayo tu mkuu...