Msaada: Kutafuta maisha nje ya Tanzania

Msaada: Kutafuta maisha nje ya Tanzania

Duh hii ndio wazungu wanaita tall order, kwa kiswahili kazi ipo. Kwa Marekani form four na miaka ishirini viza ya shule itakuwa ngumu. Mualiko wa kutembea ndio kabisaaa.

Itabidi uwaone wataalamu wa visa mtu akikusaidia ajue cha kufanya. Ila tabu ya Bongo unaweza kutapeliwa wewe na anaekusaidia.

Kwa kifupi njia rahisi na ya uhakika ni kuoa Ulaya au Marekani. Siku hizi mitandao mingi. Chokonoa kuwa mtundu ukipata mchumba hata mtu akikusaidia anakusaidia kwa kukupitia huyo mchumba.

Unafika nje na vibali vya kazi unaanza maisha na shule kifua mbele.

Nakumbuka siku ya kwanza kuingia Ulaya (Ujerumani) baridi ilikuwa -3. Usiku mwenyeji akatupeka klabu kutafuta wachumba. Kuna wanawake wa kizungu wanapenda sana watu weusi.

Kwa kipindi hicho ilikuwa ukioa tu wajerumani wanakunyooshea mambo yote. Hata kama huna kazi wanakulipa. Walichotaka ni kuona unajitahidi kupata kazi tu. Kuna karatasi unaenda kwa waajiri wakikunyima kazi wanakugongea kamuhuri.

Kwa kifupi Ulaya na Marekani cha muhimu ni vibali vya kuishi. Na njia ya uhakika kuvipata ni kuoa au kuolewa kwa mwanamke.
Sawa mkuu lakini tunaweza kutumia mbinu nyingine maana siendi kusoma naenda kutafuta maisha.na sio lazima niseme nna miaka ishirini naweza hata kuongeza maana umbo langu ni kubwa natumai wataamini
 
Wewe jamaa una masihara sana Sasa kama wewe ndio Ray Van Boy una shida gani ya kuondoka Bongo? Hata kama ukiamua kutafuta uraia wa nje ukienda kwenye ma BET mtafute mdogo wake Beyonce. Mzozee yoo wasap! Mimi ndo niga orijino. Kwetu hatuvai viatu. Basi ushamaliza mchezo[emoji23][emoji23][emoji23]
Sorry mkuu naomba u serious kwenye hii.nyuzi
 
Mkui mm ni rayvan rapa wa huku mbagala kwa bibi nyau sina nacho miliki zaidi ya Mambupu
Wewe jamaa una masihara sana Sasa kama wewe ndio Ray Van Boy una shida gani ya kuondoka Bongo? Hata kama ukiamua kutafuta uraia wa nje ukienda kwenye ma BET mtafute mdogo wake Beyonce. Mzozee yoo wasap! Mimi ndo niga orijino. Kwetu hatuvai viatu. Basi ushamaliza mchezo[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sawa mkuu lakini tunaweza kutumia mbinu nyingine maana siendi kusoma naenda kutafuta maisha.na sio lazima niseme nna miaka ishirini naweza hata kuongeza maana umbo langu ni kubwa natumai wataamini

Inabidi uwe na sababu ya kuwaridhisha ubalozoni ya kwenda kwao. Ukisema naenda kutafuta kazi sijui kama kuna ubalozi utakaokupa viza.
 
Mimi ni kijana umri wangu ni miaka 20.
Elimu:kidato cha nne
Jinsia:mwanaume
Lugha:swahili na english.
Ninahitaji kwenda kutafuta maisha huko ughaibuni isipokuwa nchi za uarabuni.

Nenda Israil lile ni taifa Teule la Mungu.Wanawapenda sana Waafrica.
 
Mambo yamebana mno Anzia south Soma ramani hata iyo miezi 3 ambayo visa not required na Ukiwa na laki5 kama kianzio inatosha nauli na vichenji kidogo vitabaki mfukoni
NB: wabongo wengi wako kwa madiba ni wezii na drugs dealer kuanzia wakike na Wakiume kuwa makini pambana tambua kilichokupeleka period
 
Wakuu.
Natumai mu wazima wa afya.
Niko serious na jambo hili nimeamua kutake risk sihitaji ushauri wa kuniambia nibaki please NIMEAMUA KU TAKE RISK
---------------------------------------
Mimi ni kijana umri wangu ni miaka 20.
Elimu:kidato cha nne
Jinsia:mwanaume
Lugha:swahili na english.
Ninahitaji kwenda kutafuta maisha huko ughaibuni isipokuwa nchi za uarabuni.
kwa sasa sina pesa za kunipeleka huko lakini naahidi endapo kuna msamaria atanigharamia nikifika huko nitasaini hata mkataba wa kufanya kazi yeyote ya halali mpaka nitakaporudisha gharama zake zote na riba endapo atahitaji kisha niendelee kufight kivyangu.
Nisingependa kuweka mawasiliano hapa kwa yeyote ambaye yupo tayari naomba anisaidie.KWa MAWASILIANO ZAIDI NAOMBA UNIPM
Naamini sitomwangusha.

Ntaleta mrejesho

Cc@Nyani ngabu
Elimu yako bado ndogo soma kwanza angalau uwe na Masters
 
Kwa kuwa hutaki kushauriwa kubaki basi nisie de huko. Njia za kufika, hakuna rahisi.
1. Tafuta shule ulaya ukasome. Ungekuwa angalau na kadigrii ingekuwa rahisi kupata scholarship ya mastets hata Estonia au Czech au Uswidi au popte pale.
2. Nenda visiwa vya comoros kisha zamia kwa boti ndogo mpaka kisiwa cha Mayote ambacho ni sehemu ya ufaranca, jilipue kama mrundi/somali/mkongo. Safari hatua baada ya hapo unaingia france.
3. Nenda mji wenye watalii wengi kama zanzibar fuga rasta daka dada wa kizungu zamia nae kwao kutembelea kwao
4. Nenda kwenye mikutano/makongamano ya vijana huko katika hizo nchi kama mshiriki kisha unapotelea.
5. Kuna watu wanatafuta visa mjini ila bei imechangamka lkn kuwa makini unaweza kutapeliwa.
.....baki hapa hapa ukijipanga utafika mbali...
 
Mambo yamebana mno Anzia south Soma ramani hata iyo miezi 3 ambayo visa not required na Ukiwa na laki5 kama kianzio inatosha nauli na vichenji kidogo vitabaki mfukoni
NB: wabongo wengi wako kwa madiba ni wezii na drugs dealer kuanzia wakike na Wakiume kuwa makini pambana tambua kilichokupeleka period
Gharama ya chumba ni kama shingapi?
 
Back
Top Bottom