Msaada: Kutafuta maisha nje ya Tanzania

Msaada: Kutafuta maisha nje ya Tanzania

Dar to Harare laki 120 Taqwa [emoji590] Harare to Johannesburg rand 400 mpk 600 km elfu sabin kibongo utakuwa umefika south tayari km ukitaka kwenda km Cape town hv itabidi uongeze laki moja kibongo hv maana nauli Johannesburg to Cape Town km rand 700 hv...
 
Wakuu.
Natumai mu wazima wa afya.
Niko serious na jambo hili nimeamua kutake risk sihitaji ushauri wa kuniambia nibaki please NIMEAMUA KU TAKE RISK
---------------------------------------
Mimi ni kijana umri wangu ni miaka 20.
Elimu:kidato cha nne
Jinsia:mwanaume
Lugha:swahili na english.
Ninahitaji kwenda kutafuta maisha huko ughaibuni isipokuwa nchi za uarabuni.
kwa sasa sina pesa za kunipeleka huko lakini naahidi endapo kuna msamaria atanigharamia nikifika huko nitasaini hata mkataba wa kufanya kazi yeyote ya halali mpaka nitakaporudisha gharama zake zote na riba endapo atahitaji kisha niendelee kufight kivyangu.
Nisingependa kuweka mawasiliano hapa kwa yeyote ambaye yupo tayari naomba anisaidie.KWa MAWASILIANO ZAIDI NAOMBA UNIPM
Naamini sitomwangusha.

Ntaleta mrejesho

Cc@Nyani ngabu

Duh hii ndio wazungu wanaita tall order, kwa kiswahili kazi ipo. Kwa Marekani form four na miaka ishirini viza ya shule itakuwa ngumu. Mualiko wa kutembea ndio kabisaaa.

Itabidi uwaone wataalamu wa visa mtu akikusaidia ajue cha kufanya. Ila tabu ya Bongo unaweza kutapeliwa wewe na anaekusaidia.

Kwa kifupi njia rahisi na ya uhakika ni kuoa Ulaya au Marekani. Siku hizi mitandao mingi. Chokonoa kuwa mtundu ukipata mchumba hata mtu akikusaidia anakusaidia kwa kukupitia huyo mchumba.

Unafika nje na vibali vya kazi unaanza maisha na shule kifua mbele.

Nakumbuka siku ya kwanza kuingia Ulaya (Ujerumani) baridi ilikuwa -3. Usiku mwenyeji akatupeka klabu kutafuta wachumba. Kuna wanawake wa kizungu wanapenda sana watu weusi.

Kwa kipindi hicho ilikuwa ukioa tu wajerumani wanakunyooshea mambo yote. Hata kama huna kazi wanakulipa. Walichotaka ni kuona unajitahidi kupata kazi tu. Kuna karatasi unaenda kwa waajiri wakikunyima kazi wanakugongea kamuhuri.

Kwa kifupi Ulaya na Marekani cha muhimu ni vibali vya kuishi. Na njia ya uhakika kuvipata ni kuoa au kuolewa kwa mwanamke.
 
Asantee sana mkuu.. Kwamfano kama mtandao gani naweza NASA vizuri warembo wakizungu maana fb naona magumashi tu...
 
Panda trein mpaka kigoma ukifika panda boti mpaka uvira apo kuna dhaabu na almasi yani week tu ushatoka
 
Mkuu kama mm vile tu maana hatujatofautiana kitu..

Mm mwenyewe nataka sana kwenda huko ila sijui nianzaje..
Cc.
Kichuguu Mr Miller @CompenhegenDN Nyani Ngabu

Wewe jamaa una masihara sana Sasa kama wewe ndio Ray Van Boy una shida gani ya kuondoka Bongo? Hata kama ukiamua kutafuta uraia wa nje ukienda kwenye ma BET mtafute mdogo wake Beyonce. Mzozee yoo wasap! Mimi ndo niga orijino. Kwetu hatuvai viatu. Basi ushamaliza mchezo[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Dar to Harare laki 120 Taqwa [emoji590] Harare to Johannesburg rand 400 mpk 600 km elfu sabin kibongo utakuwa umefika south tayari km ukitaka kwenda km Cape town hv itabidi uongeze laki moja kibongo hv maana nauli Johannesburg to Cape Town km rand 700 hv...
[emoji120]
 
Back
Top Bottom