Msaada kuhusu rangi nzuri ya picha kwenye hisense Tv vidaa

kamikaze

JF-Expert Member
Jan 25, 2011
422
610
Ndugu wana jamvi kama thread inavyojieleza,
Naomba mdau ambaye anatumia au ameishawahi kutumia tv aina hii, naomba aniambie mchanganyiko mzuri wa rangi
ili niweze kupata picha nzuri katika hisense vidaa 55''
Naomba mchanganyiko wa rangi, kwa mfano
Picture mode nichague ipi kati ya hizi-Standard, Dynamic,Natural,Theatre
Brighteness niweke namba gani ? mfano 47,48, 50 nk
Contrast niweke namba ngapi?
Color niweke namba ngapi?
Backlist niweke on au off?
Advanced picture setting niset vp?

Natanguliza shukrani kwa yeyote atakae nisaidia kwenye hili.
 
Hivi mkuu ubora wa TV huwa unapimwa kwa kitu gani?
Kikubwa kabisa quality ya kioo, mengine ni ziada tu.

Una Angalia
-tech ya kioo kama ni led, lcd, plasma, Qled, oled, mini led, micro led etc
-resolution ya kioo kama ni HD, full HD, 4k, 8k etc
-tech za ziada kama HDR 10, HDR ya kawaida, Dolby vision etc.
 
Shukrani mkuu.Vipi kuhusu yale mambo ya refreshing rate?
 
Hakuna mdau aliejib vizuri hii ishu maana hata mm nina tatz hili nilitamami saana nipate msaada hapa.
Mkuu inapimwa na macho yako,mfano brightess inatofautiana na uwezo wa mtu kuona, mwingine huona vyema kwenye mwanga hafifu,mwingine mkali
 
Back
Top Bottom