Msaada juu ya ununuzi wa Home Theater

Kaka huyu mtu kasema kuwa kazichanga changa wewe una mpa budget ya dola 2,000. Ambayo ni sawa na milioni nne...
Huyu hata kama hataki kusema budget yake ila nina uhakika mzika anaoutaka sidhani kama unazidi milioni moja... Huyu ni laki sita ameenda sana laki saba .. Pesa ya pressure...
hapana jamaa ndo maana nikajichanga cdhani kama kuna ubaya ndo maana nikaomba ushauri ili nijue naongeza nini na ninafanyaje ili nipate kitu poa na si poa kitu
 
nimetumia home theater ya Sony hawako vizuri kwny bass nikaauza nikanunua LG hawa ndiyo baba lao ina mkito wa nguvu na ina option nyingi za kuset sound unayoitaka.
 
Hivi hiz subwoofer kama seapiano hazifai? Kwann usinunue hizo, na zinapatikana kwa urahisi tu hata vijijini, kulikoni hayo mambo ya kununua online kuna kuibiwa ukalamba garasa
 
Hivi hiz subwoofer kama seapiano hazifai? Kwann usinunue hizo, na zinapatikana kwa urahisi tu hata vijijini, kulikoni hayo mambo ya kununua online kuna kuibiwa ukalamba garasa
unajua subwofer amplifier zake siyo quality. ukiweka sauti kubwa zinashindwa kudeliver mziki wa quality nzuri. bora achukue HT ya sony 5.1 ya 300wtt. laki tatu tu.
 
Nakubaliana na wewe nilinunua Sony Home theater system model DAV-TZ140 Ina watts 300 najuta maana ni upuuzi mtupu
😁😁😁😁😁 unanunuaje kifaa cha mziki cha watts 300 mkuu? Pole sana ila usikonde tafta Sony DAV-DZ350 itakukata kiu yako!
 
Sony ni brand nzuri ila kwenye sound receivers na amps wako nyuma kwa sana tu uliinganisha na Pioneer, Denon, Maratz,
Kwa kuwa budget yako sio ndefu basi fanya combination kama ifuatavyo:
Nunua sound receiver Ya Pioneer Au Denon au hata Yamaha au Onkyo
Nunua set Ya speakers na sub ya Harman Kardon
Hapo utakuwa poa sana tena budget yake itakuwa around $2,000 plus
Epuka home theater/sarround system zinazouzwa kwenye box moja. Hizo ni za wanafunzi wa college
Asante
Hizo za kununua vifaa separate ili uviblend kupata finest sounds kwa bongo ngumu sana! Pia its gonna be super expensive!
 
Back
Top Bottom