Msaada juu ya ununuzi wa Home Theater

Msaada juu ya ununuzi wa Home Theater

Sony ni brand nzuri ila kwenye sound receivers na amps wako nyuma kwa sana tu uliinganisha na Pioneer, Denon, Maratz,
Kwa kuwa budget yako sio ndefu basi fanya combination kama ifuatavyo:
Nunua sound receiver Ya Pioneer Au Denon au hata Yamaha au Onkyo
Nunua set Ya speakers na sub ya Harman Kardon
Hapo utakuwa poa sana tena budget yake itakuwa around $2,000 plus
Epuka home theater/sarround system zinazouzwa kwenye box moja. Hizo ni za wanafunzi wa college
Asante
Mkuu hizi vitu zote zinapatikana hapa TZ? Au mpaka kuagiza?
 
Teufel wako poa?
Teufel ni hatari sana, mziki jiwe. Nilibahatika kuzikuta Kwa jamaa yangu nchi jirani yani niligundua mziki ninao ringia home (Panasonic) ni taka taka tu.
Una patikana amazon.co.uk, japo sio mtaalam wa sound system lakini nikisikia mziki wenye ubora najua kwamba hiyo kitu ni kali.
 
Good to know. Uko sahihi kuhusu Panasonic. Ni wachovu kwenye area hii.
Nina passion Ya music systems na asante sana for sharing this
 
Pamoja sana mkuu, hapa nilipo na save pesa Kwa ajili ya kuagizia music system Kwa mtandao toka nje. Roho yangu imeshikwa na hizo mbili (Teufel, Acoustic systems), wakati ukifika itabidi nirushe shilingi Kwa sababu zote nazijua.
 
Sony ni brand nzuri ila kwenye sound receivers na amps wako nyuma kwa sana tu uliinganisha na Pioneer, Denon, Maratz,
Kwa kuwa budget yako sio ndefu basi fanya combination kama ifuatavyo:
Nunua sound receiver Ya Pioneer Au Denon au hata Yamaha au Onkyo
Nunua set Ya speakers na sub ya Harman Kardon
Hapo utakuwa poa sana tena budget yake itakuwa around $2,000 plus
Epuka home theater/sarround system zinazouzwa kwenye box moja. Hizo ni za wanafunzi wa college
Asante
Kaka huyu mtu kasema kuwa kazichanga changa wewe una mpa budget ya dola 2,000. Ambayo ni sawa na milioni nne...
Huyu hata kama hataki kusema budget yake ila nina uhakika mzika anaoutaka sidhani kama unazidi milioni moja... Huyu ni laki sita ameenda sana laki saba .. Pesa ya pressure...
 
Kaka mimi nina kitu sony DAV-sc6
Nikuuzie?
Ni hatari huo mziki.. Nenda google.. Niliuchukua nchi za watu
 
Kaka huyu mtu kasema kuwa kazichanga changa wewe una mpa budget ya dola 2,000. Ambayo ni sawa na milioni nne...
Huyu hata kama hataki kusema budget yake ila nina uhakika mzika anaoutaka sidhani kama unazidi milioni moja... Huyu ni laki sita ameenda sana laki saba .. Pesa ya pressure...
Nimekupata mkuu
Nina imani atakuja na bajeti nzuri kidogo this time kama Kweli ana passion Ya haya makitu
 
image.png
Mkuu unauzaje huo mziki?
Kaka kama umepanga huu mziki haukufai, hautaufaidi..
 
Labda Dar ya zamani, siku hizi wauzaji wamekariri brands, Sony, LG, na sumsung, siku hizi hakuna Toshiba, Philips, sasa hio Pioneer, technics na hizo zako nadhani hakuna namna mpaka Nairobi
Umeniacha hoi sana mkuu.....eti wabongo wamekariri lol
 
Kweli kila mtu na passion yake jamani, mi mtu akinambia ninunue music system siwezi zidisha 800k.
Sasa watu mnawaza mziki wa 10,000$ mnataka kufungua studio ndogo???
 
Laki nane LG, Logik, RCA, Hisense, Westpoint au Samsung utapata mkuu
 
Sio kweli mkuu. Huwezilingalisha Sony na Pioneer, Denon, Bose, B&O etc
Mkuu naongelea maisha ya watu wa daraja la kati Tanzania! Hizo ulizoorodhesha za dola elfu kumi na zaidi Utakuwa unagusia vigogo na mafisadi!

Ila katika hali ya kawaida mtu unaenda kununua mziki wa zaidi ya dollars 10,000 wa nyumbani ni ufahari au? Ingekuwa kwa ajili ya kumbi za starehe sawa kabisa lakini si vinginevyo!
 
Back
Top Bottom