Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 5,376
- 11,527
Rejea kichwa cha Habari Husika.
Mimi ni mdau wa muda mrefu wa Jamii Forums na pia Wa Miaka Lukuki wa MUSIC. kwa kweli nimekuwa na uzoefu wa Music miaka mingi nikiwa nimepata sikiliza music toka katika Radio Mbalimbali ambazo zilikuwa njema nitaje chache.
1. Sony
2. Sharp
3. JVC
4. Panasonic
Na miaka ya 2000 nlifanikiwa kukutana na music mkali mzito toka Bose Home Theater ambayo inatengeneza Marekani kama sikosei. Ilikuwa inagonga sana.
Ukiacha hapo miaka ya nyuma nmesikiliza sana nyimbo za akina Marvin Gaye, Wacko Jacko, The Delfonics, Mase, Tu Pac, Madonna, Brian Adams, Jimmy Cliff,Bob Marley et al, Aurlus Mabele, Pepe Kalle, Josky Kiambukuta,Kanda BongoMan,T.P Ok Jazz, Sam Mangwana, Dindo Yogo....wengi sana kwenye Santuri....au sahani.
Naomba usichoke ba maelezo yangu. Kwa mara ya kwanza mzee amenunua Radio ya CD ilikuwa mwaka 1994 Sony. CD zilikuja baadaye...coz kulikuwa na option za kutumia Cassete. Ilikuwa inagonga vibaya sana kiasi bibi alikuwa analalamika kuwa tunataka kumuua sababu ya mdundo mgumu uliokuwa unaingia mpaka moyoni.
Swali langu la msingi. Kwa sasa kwa mtu anayetaka base ya maana inayogongea Kifuasi siyo tumboni kama zile za kichina au kooni na kusababisha kelele.
Je kipi bora kati ya Hi-Fi System, Home Theater, Subwoofer. Na je katika hizo kabla ya kununua nizingatie nini kati ya Omhs na Watts.
Nimeleta kwenu nikitumaini ombi langu la kuelimishwa litakubaliwa.
Wenu katika Ujenzi wa Taifa
Igunanilo Bin wa Kuntukanta Makata Manyahiyahiya Pelekapeleka Pelelutano.