itagata
JF-Expert Member
- Sep 4, 2011
- 209
- 71
Habari wana JF!
Nina mpango wa kutimiza ndoto yangu ya muda mrefu ya kuanzisha chuo kitakachokuwa kinatoa course kwa ngazi ya Cheti na Diploma kwenye fani za Kilimo, Mifugo na maendeleo ya jamii mkoani Singida. Naomba ushauri kutoka kwa Wana JF wowote wenye kujua utaratibu ukoje ambao unaweza kunisaidia kuufuata ili kukamilisha ndoto yangu! Hii inaweza kuwa natakiwa kuwa na majengo yapi, wataalam wa aina gani wenye level zipi ambao watahitajika katika kukamilisha lengo langu, taratibu za kufuata ili kupata usajiri na mengineyo!
Asanteni sana.