Sangoma
JF-Expert Member
- Apr 7, 2012
- 342
- 162
Mi ni mgeni wa haya mambo ni muda mrefu nimekuwa nikisikiliza mziki bila mdundo nimejichanga changa nahitaji kununua Home Theater nzuri na ya kisasa pakuanzia ndo sijui wenye kujua ni vitu gani vya kuangalia pindi unapotaka kununua kitu hii naombeni ushauri wenu maana sitaki kukurupuka nahitaji kuchukua mziki wa ukweli na wenye kudumu kwa muda mrefu kuhusu badget yangu nimejipanga kwa kiasi flani plz ushauri wenu waungwana sihitaji kujutia katika ununuzi wa hii bidhaa