Msaada juu ya ununuzi wa Home Theater

Msaada juu ya ununuzi wa Home Theater

Mkuu naongelea maisha ya watu wa daraja la kati Tanzania! Hizo ulizoorodhesha za dola elfu kumi na zaidi Utakuwa unagusia vigogo na mafisadi!

Ila katika hali ya kawaida mtu unaenda kununua mziki wa zaidi ya dollars 10,000 wa nyumbani ni ufahari au? Ingekuwa kwa ajili ya kumbi za starehe sawa kabisa lakini si vinginevyo!
Ziki la dola elfu 10 utalisikiliz na nani?
 
Ziki la dola elfu 10 utalisikiliz na nani?
mi ni umasikini tu. hata wa dola 40,000 nanunua. natamani kupata system za Klipch.
THX_Ultra2_System_635042275054280000.jpg
 
mi ni umasikini tu. hata wa dola 40,000 nanunua. natamani kupata system za Klipch.
THX_Ultra2_System_635042275054280000.jpg
Ndugu yangu hii ni hatari, nina headphone za hawa jamaa kuna mwana mmoja aliniona nazo akataka kunivua nikampotezea.. Sababu ni noma sema sikujua kuwa mambo yao ni hatare.. Nilipewa na mtasha mmoja kwao huko baada ya kumpa dodoki la maana
 
Mkuu naongelea maisha ya watu wa daraja la kati Tanzania! Hizo ulizoorodhesha za dola elfu kumi na zaidi Utakuwa unagusia vigogo na mafisadi!

Ila katika hali ya kawaida mtu unaenda kununua mziki wa zaidi ya dollars 10,000 wa nyumbani ni ufahari au? Ingekuwa kwa ajili ya kumbi za starehe sawa kabisa lakini si vinginevyo!
Japo Bose Ya $1500 basi Kiongozi
 
sikiliza nikushauri kichumi mkuu,, nunua redio ya kawaida kabisa buku tisa tuu, kata spika zake then nunua pipa la plastiki (la chuma litakusumbua kukata).. likate vipande viwili then ndan ya kila kipande tia zile spika zako kisha vifunge uwazi uwe chini.. mdundo wa hapo unatosha sana na pesa ulokua umeandaa kununulia home theatre inafanya mambo mengine unakua ume save pakubwa while at the same time una enjoy equally same satisfaction.. kupanga ni kuchagua wala usidhani nakutania nipo serious uso wa mbuzi mkuu..
 
Nilivyoona huu mziki nikakumbuka movie ya Mad Max Fury Road
kwenye hiyo movie kuna soundtrack moja inaitwa brothers in arms ukiipiga humo na nyumba haina sound proof lazima NEMC waje sababu ya noise pollution. subwofer mbili na receiver yake inapeleka 400Wtt kwenye kila speaker.
 
Hao B&O habari nyingine wana head phone tu zinatembea 3000$
 
Hiyo hapo ni 5500 usd, kwa Dar sijui kama zipo ila Amazon unaweza Kuagiza
Excluding AV receiver , AV receiver ni kama 2000 usd so hiyo ikiwa full ni kama 7500 usd.
 
Back
Top Bottom