Msaada Jinsi ya kumpiga demu wangu kibuti.

Msaada Jinsi ya kumpiga demu wangu kibuti.

Shark

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2010
Posts
29,972
Reaction score
30,154
Wadau,
Nina demu mmoja ambae tunapendana sana kwakweli, na nlipanga awe aje my wife wangu hapo baadae. Demu huyu kwa sasa amesafiri hivyo nimebaki mpweke karibia mwezi mzima.

Sasa nikajikuta katika kutafuta mapozeo, nikanasa mahali ambapo kweli nafikiri itakua ngumu kujinasua. Yaani kwa kipindi kifupi tu hapa nliponaswa nishatambulishwa mpaka kwa wakwe zangu, wakiwemo ndugu, jamaa na marafiki.

Kwakua nimeacha u-playboy, najiona kama siwezi kua nao wote wawili, aliesafiri nampenda sana, but najihis usaliti kwake hivyo sistahili kua nae. Najua ataumia, but sina jinsi.

Sasa kumwambia tuachane ndo sijui pa kuanzia. Nafikiria nimtegeshee kosa ili akijichanganya tu nipate sababu but roho inanisuta. Wadau msaada plz
 
bahati mbaya nilifundishwa kupatanisha watu tu na si kutenganisha, napita ngoja waje wengine
 
Wadau,
Nina demu mmoja ambae tunapendana sana kwakweli, na nlipanga awe aje my wife wangu hapo baadae. Demu huyu kwa sasa amesafiri hivyo nimebaki mpweke karibia mwezi mzima.

Sasa nikajikuta katika kutafuta mapozeo, nikanasa mahali ambapo kweli nafikiri itakua ngumu kujinasua. Yaani kwa kipindi kifupi tu hapa nliponaswa nishatambulishwa mpaka kwa wakwe zangu, wakiwemo ndugu, jamaa na marafiki.

Kwakua nimeacha u-playboy, najiona kama siwezi kua nao wote wawili, aliesafiri nampenda sana, but najihis usaliti kwake hivyo sistahili kua nae. Najua ataumia, but sina jinsi.

Sasa kumwambia tuachane ndo sijui pa kuanzia. Nafikiria nimtegeshee kosa ili akijichanganya tu nipate sababu but roho inanisuta. Wadau msaada plz

Kaka, kumsaliti umsaliti wewe halafu mbaya zaidi unataka na kumtegeshea kosa ...., tuwe na huruma, LOL!
 
Matusi c mazuri tunaomba ushauri mzuri kwani hili ni tatizo kwa vijana wengi.
 
Ha ha ha ha umenifurahisha sana Shark,hivi tangu unatongoza,ukakubaliwa,ukala chakula na kukiona kitamu,ukafikia hadi kwenda mbele zaidi kwa kukubali hadi kutambulishwa ukweni bado tu ulikuwa una mawazo na mwanamke wako wa zamani?Mbona inaonekana matendo yako yanaonesha kuwa ulikwishamsahau na kuamua kuwa na huyo ambaye unaye sasa?

Kuna jambo zito limetokea na hujataka kutuambia maana haiwezekani ukawa na mahusiano na mwanamke mwingine kiasi kwamba ukatambulishwa hadi kwao leo useme humtaki tena na unataka kutoka.

Wanaume wenzako tukipatwa na masaibu kama hayo hatujengi kibanda kama ulivyofanya wewe na hata siku moja kama una malengo na mwanamke wako basi fanya uwezalo usije penda zaidi nje kuliko unavyompenda mwenzi wako kwani kuna matatizo makubwa na ndio kama hayo yaliyokutokea,bahati nzuri kwako kutoka huwezi na umeshikwa pabaya mkuu hata ukimtegeshea bado kakushika na umekwishakuwa mtumwa wa mapenzi kwake.
 
..kama yupo mbali mpigie simu, mueleze maneno haya uliyoandika hapa, na umuache kwa amani.........atapata atakayempenda kwa dhati.....wakati huo huo.kumbuka hujui.thamani ya ulichonacho mpaka ukipoteze....
 
Tabia mbaya, naomba tu uonyeshe kukomaa kifikra usijefanya kosa la kumtengenezea mazingira ya kumkataa ati kwakuwa ulimtegeshea hata huyo aliyekutambulisha atakutengenezea kosa ili akusaliti, wewe unachotakiwa ni kumweleza hali halisi tena akiwa mbali huko huko kwakuwa itapunguza maumivu kwake kwakuwa hakuoni moja kwa moja unavyotamka!! lakini ushauri wa kumtafutia kosa ni dhambi ya mchana kweupeeee!
 
Wanamme mna kazi sana
Afu hawa wa kudandia treni kwa mbele huwa utata sana
 
kutambulishwa sio issue...kwani ulitambulishwa kama umeenda kutoa posa ama alikutambulisha kuwa wewe ndiye kidume wake? sikiliza ndg, usiache mbachao kwa msaala upitao.....huyo demu yawezekana ndio technique yake kukunasa...mwambie u have someone u love uone ata-react vipi...laikini isiwe shida kwani ni muda mfupi sana ukilinganisha na mchumba wako...
 
yani unampenda aliyesafiri na unataka kumwacha huyo huyo? naic cjaelewa na kama ndio hivyo you are not serouz
 
Usipoanngalia maisha yako yatakuwa ya shida saana
unaacha mtu anaekufaa na unaenda na alie kudhibiti simply sababu huwezi jinasua
Aisay yani watu kama hawa ni wengi sana dunaini, yani inabidi tuwaombee sana kwa Mungu :biggrin1:
 
Childish topic ndio zimejaa huku siku hizi.

Watu wanaonunuwa Wanawake Joly Club kwa one night show mnawaona wajinga? eti unamuita Mwanamke ni mpenzi wako halafu baada ya mwezi tayari una mwanamke mwingine full kujiachi!! je angekuwa amekwenda kufanya Degree yake Austaralia ingekuwaje? si angekukuta una mpaka wajukuu.
 
Back
Top Bottom