Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 76,811
- 110,060
Matusi c mazuri tunaomba ushauri mzuri kwani hili ni tatizo kwa vijana wengi.
tokea lini tamaa ikawa ni tatizo...
Matusi c mazuri tunaomba ushauri mzuri kwani hili ni tatizo kwa vijana wengi.
Wadau,
Nina demu mmoja ambae tunapendana sana kwakweli, na nlipanga awe aje my wife wangu hapo baadae. Demu huyu kwa sasa amesafiri hivyo nimebaki mpweke karibia mwezi mzima.
Sasa nikajikuta katika kutafuta mapozeo, nikanasa mahali ambapo kweli nafikiri itakua ngumu kujinasua. Yaani kwa kipindi kifupi tu hapa nliponaswa nishatambulishwa mpaka kwa wakwe zangu, wakiwemo ndugu, jamaa na marafiki.
Kwakua nimeacha u-playboy, najiona kama siwezi kua nao wote wawili, aliesafiri nampenda sana, but najihis usaliti kwake hivyo sistahili kua nae. Najua ataumia, but sina jinsi.
Sasa kumwambia tuachane ndo sijui pa kuanzia. Nafikiria nimtegeshee kosa ili akijichanganya tu nipate sababu but roho inanisuta. Wadau msaada plz
Naomba ujifunze kutofautisha kati ya Mvulana na Mwanaume na tofautisha pia kati ya Mwanamume na mtoto wa kiume.Hivi kwa nini wanaume mlio wengi haswa wa vyuoni huwa mnaona kama wanawake ni vyombo vya kuchezea tu "toys"...yaani mwezi mmoja tu tayari umeshafanya ufirauni utakaom-cost mwenzako kwa sijui muda gani ujao! khaaa
Wadau,
Nina demu mmoja ambae tunapendana sana kwakweli, na nlipanga awe aje my wife wangu hapo baadae. Demu huyu kwa sasa amesafiri hivyo nimebaki mpweke karibia mwezi mzima.
Sasa nikajikuta katika kutafuta mapozeo, nikanasa mahali ambapo kweli nafikiri itakua ngumu kujinasua. Yaani kwa kipindi kifupi tu hapa nliponaswa nishatambulishwa mpaka kwa wakwe zangu, wakiwemo ndugu, jamaa na marafiki.
Kwakua nimeacha u-playboy, najiona kama siwezi kua nao wote wawili, aliesafiri nampenda sana, but najihis usaliti kwake hivyo sistahili kua nae. Najua ataumia, but sina jinsi.
Sasa kumwambia tuachane ndo sijui pa kuanzia. Nafikiria nimtegeshee kosa ili akijichanganya tu nipate sababu but roho inanisuta. Wadau msaada plz
Naomba ujifunze kutofautisha kati ya Mvulana na Mwanaume na tofautisha pia kati ya Mwanamume na mtoto wa kiume.
Hakuna Mwanamume anayeweza kuja hapa na hoja nyepesi na za kitoto kama hizi, haya ni matatizo ya Wavulana, hawajielewi, hawajitambui na wala hawajui wanahitaji nini.
Mkuu KK3,Asikwambie mtu demu mpya mtamu!! Piga chini huyo aliyeenda mwezi mzima safarini...Usikute na yeye anakusaliti huko.
Wadau,
Nina demu mmoja ambae tunapendana sana kwakweli, na nlipanga awe aje my wife wangu hapo baadae. Demu huyu kwa sasa amesafiri hivyo nimebaki mpweke karibia mwezi mzima.
Sasa nikajikuta katika kutafuta mapozeo, nikanasa mahali ambapo kweli nafikiri itakua ngumu kujinasua. Yaani kwa kipindi kifupi tu hapa nliponaswa nishatambulishwa mpaka kwa wakwe zangu, wakiwemo ndugu, jamaa na marafiki.
Kwakua nimeacha u-playboy, najiona kama siwezi kua nao wote wawili, aliesafiri nampenda sana, but najihis usaliti kwake hivyo sistahili kua nae. Najua ataumia, but sina jinsi.
Sasa kumwambia tuachane ndo sijui pa kuanzia. Nafikiria nimtegeshee kosa ili akijichanganya tu nipate sababu but roho inanisuta. Wadau msaada plz
Wadau,
Nina demu mmoja ambae tunapendana sana kwakweli, na nlipanga awe aje my wife wangu hapo baadae. Demu huyu kwa sasa amesafiri hivyo nimebaki mpweke karibia mwezi mzima.
Sasa nikajikuta katika kutafuta mapozeo, nikanasa mahali ambapo kweli nafikiri itakua ngumu kujinasua. Yaani kwa kipindi kifupi tu hapa nliponaswa nishatambulishwa mpaka kwa wakwe zangu, wakiwemo ndugu, jamaa na marafiki.
Kwakua nimeacha u-playboy, najiona kama siwezi kua nao wote wawili, aliesafiri nampenda sana, but najihis usaliti kwake hivyo sistahili kua nae. Najua ataumia, but sina jinsi.
Sasa kumwambia tuachane ndo sijui pa kuanzia. Nafikiria nimtegeshee kosa ili akijichanganya tu nipate sababu but roho inanisuta. Wadau msaada plz
Hili nalo wazo zuri.
Nimwambie yupi sasa?
Wa mwanzo au wa sasa?
kuwa na huyo mwingine tiyari umeshafanya maamuzi sasa sijui unataka sisi tukushauri nini tena?wewe endelea na roho yako hiyo hiyo ya usaliti.