Msaada Jinsi ya kumpiga demu wangu kibuti.

Msaada Jinsi ya kumpiga demu wangu kibuti.

i hate wanaume kama type yako huna msimamo ktk maisha upo upo kama bendera upepo ukivuma kuelekea magharibi unaenda,mashariki upo,kusini upo,kaskazini upo kweli mwezi mmoja umeshindwa kuvumilia je akiwa mjamzito jumulisha maternity leave si ndo utahamia huko huko,unahitaji maombezi ww si bure.
 
Tatizo ya haya mambo ukianza huachi, leo umemtosa huyu, either baadae utmucha huyu mpya kisa katokea mwingine au atakuacha yeye kisa kaona mwingine, newton's third law of motion states that: To every action there's equal and opposite reaction, believe me, someday kitu kama hicho kitatokea kwako
 
duh mwezi mmoja umeshatambulishwa....

mmmhhh umempima ukimwi? unajua y hadi leo hana au ameshindwa kutulia na bwana? haya subiri kujuta na kulizwa.

yaani hata ujadhtuka y umetambulishwa haraka hivyo, au ndo kadawa kanafanya kazi? mie naona unachemka na ukimuacha wa kwanza na kuja kujua maovu na tabia za wa pili utakoma. sitaki hata som post zako zingine ya mwanzo imetosha.
 
Back
Top Bottom