Step by step Guide: Jinsi ya kufanya matangazo yenye matokeo positive katika social media 2020

Max Marketer

Member
Oct 13, 2020
46
49
Habari za Leo wakuu, I hope kila mtu yuko vizuri na harakati za biashara & ujasiriamali zinaendelea.

Kama ilivyo ada, huwa naleta mada za kufundisha watu kuhusu Facebook and Instagram ads, na jinsi wanavyoweza kuzitumia kutangaza na kukuza biashara/brand zao.

Leo nitaenda kujibu moja kati ya maswali ambayo niliulizwa na wadau (ni mfanyabiashara yupo hapa dar).

Naamini utaweza jifunza kitu hapa..twende pamoja.

Swali lilikua linauliza

"Ni jinsi gani unaweza kufanya matangazo yenye matokeo positive kwenye mitandao ya kijamii? "

JIBU LANGU LIKO KAMA IFUATAVYO

Cha kwanza inabidi tufahamu maana halisi ya matokeo positive ni ipi?

Je, ni kuongeza mauzo?.. Kuuza bidhaa/huduma fulani?..kuongeza followers?.. Kuongeza Brand awareness?.. Kupata leads zaidi?

Kila mfanyabiashara anaweza kua na majibu yake specific, lakini tunaamini mwisho lengo ni KUUZA kile tulichonacho (bidhaa/huduma)

Hamna mtu anayetangaza ilimradi tuu.. We all want to sell eventually.

Tunatambua dhahiri wateja wetu wapo mitandaoni,.. Swali linabaki unatumia njia gani ili uweze kuwashawishi mpaka wanunue?....

Na sio kwa kubahatisha Mara moja moja, bali kwa kuwa na system ambayo itakuletea wateja continuously na kukuza biashara yako.

Kumbuka mtu wa Online kuiona bidhaa/huduma yako na kununua ni vitu viwili tofauti kabisa.. Watu wanaishiaga kuuliza bei tu :)

Mpaka mtu atoe pesa yake mfukoni, manake umemshawishi vya kutosha na kumuaminisha kuhusu wewe na biashara yako.

Sasa twende kwenye Vitu 5 muhimu kuzingatia,..

Ukishajipanga vizuri hapa , tayari unakuwa umetengeneza system yako nzuri kabisa ya kujipatia wateja mitandaoni.

Na hapa ndipo utaweza kupata POSITIVE RETURN katika hela utakayowekeza kwenye matangazo.

1.BUSINESS BRANDING & POSITIONING

- Je, biashara yako online inaonekanaje?.. Umeibrandi vipi?.. Una logo?.. Post zako ziko branded?.. Zinavutia? ...Bio yako je?

- Je, umejiposition kuvutia wateja wa level ya juu (high end) au wateja wa kawaida (price sensitive)?

- Cha kwanza angalia account yako imekaaje, unaweza kuboresha wapi?

2.CONTENT STRATEGY

- Hapa sasa tunaingia ktk photos, videos and graphics (mfano posters, designed social media posts, etc)

- Yaani unakuwa umejipanga vizuri ktk swala zima la contents utakazoposti,hauangaiki tena leo niposti nini.

- Kumbuka Quality contents (photo, videos, Graphics), sio tu zinakufanya u STAND OUT from the competition, bali pia zinaiongezea thamani kubwa Brand yako.

-Na unaweza kucharge a premium price for this ukijiposition vizuri.Kama unaweza kuinvest hapo.. DO IT

3.DEFINE YOUR OFFER

- Sawa unataka kuuza, unataka wateja online.. Wateja wapo, je unawashawishi vipi?

- Biashara zote simply zinaendeshwa kwa mfumo wa offer, yaani unatoa kitu flani kwa mteja (product/service) na yeye anakupa pesa , hamna uchawi wowote hapo.

- Sasa Ili umshawishi vizuri lazima utambue WHAT do you offer?.. To WHOM do you offer it?.. And WHY should they buy now??

- Jiulize hayo maswali, majibu yake yatakupa VISION jinsi gani u communicate na wateja wako online, ujiposition vipi na utawashawishi vipi adi wanunue.

4.SETTING UP AD ACCOUNT & AD TYPES

- Ukishamaliza hatua hizo huko juu, kinachofata ni kuiset account yako ya Instagram & facebook ziwe tayari kufanya matangazo (simple)

- Kitu kingine kufahamu ni aina ya matangazo unaweza kufanya,na kwa wakati gani ili kutimiza lengo la kuuza na kupata wateja

- I see people advertising kupitia"Instagram promote button", if it works for you fine, ila kuna POTENTIAL KUBWA unaiacha kwa kutotumia Facebook ads manager kuendesha ads zako.

-Kuna options nyingi sana za matangazo kule and it's where MONEY IS MADE (Next mada nitazungumzia aina hizi za ads)

5. RUNNING ADS & Measuring RESULTS

- Baada ya kupitia hatua izo 4 ukitengeneza system yako ya kufanya profitable ads, sasa wakati umefika.

- Unaanza kufanya matangazo (well planned) na kupima results unazopata.

- Hakuna Ad ambayo haitaleta results, ata likes tu ni results,.. Swali utakalojiuliza ni je,, lengo langu lilikuwa nini, je nimetimiza?.. Nifanye nini kuboresha zaidi?

- Unafanya optimization, na kuendelea na ads zako.. With a few tweaks, you should see the results

- Kuna aina nyingi za matangazo, na kila aina inafaa kukupatia matokeo fulan.. Stay tuned kujifunza aina hizi next post

Ooops, Post ndefu but naamini umejifunza kitu hapa... Karibu kwenye comment kama una swali lolote lile, hujaelewa sehemu

- Kama utahitaji ushauri ,msaada,huduma katika social media marketing and advertising.. ..Call/whatsapp me 0752226475 nitakusaidia

- Join my FREE Whatsapp group pia, kuna tips na lessons mbali mbali za social media marketing and advertising..

-Wafanyabiashara tunaconnect huko...Nitext "ADD ME" kwa 0752226475..nitakuadd

Until next post, thanks for reading

--------------------------------------------

By : Max Marketer Tz

- Social media marketing | Facebook Advertising | Web design

"Wateja hawaji kwa bahati mbaya, wanatafutwa"
JF-QN.jpg
jf-ans.jpg
 
Facebook ads manager ndo ikoje?
Ni platform ya facebook inayokuwezesha kufanya matangazo kwa ufanisi zaidi... Na imeziunganisha facebook, Instagram, Messenger and Whatsapp..

So unaweza rusha tangazo facebook and instagram account at the same time...

Nitakuja kuielezea hii kwa kina pia, stay tuned
 
Back
Top Bottom