Mkuu naelewaTarasimu unaijua? Alif huijui halafu unajifanya mjanja humu
Mkuu naelewaTarasimu unaijua? Alif huijui halafu unajifanya mjanja humu
Mchungaji kamtega huyo ili siku ya pili aende kanisani kwake akamle pesaHaya tupe maana ya hayo majini yaliyozindikwa hapo
Acha zakonimescreeshot ili isomeke vizuri
Mchungaji gani anaweza kuandika zindiko kama hilo we maalim ubwabwa vipiMchungaji kamtega huyo ili siku ya pili aende kanisani kwake akamle pesa
Tulia urambe dawa 😂mkuu sijaelewa kwanini umeleta hizi thread, mbona hazihusiani
Hujui kama wachungaji wanasoma kiarabu? Siku hizi wachungaji wanasoma kiarabu na tena wanakijua hasaMchungaji gani anaweza kuandika zindiko kama hilo we maalim ubwabwa vipi
Hebu msaidie huyo kufunua majini yenu
Mchungaji anaweza kuandika zindiko? Sijataja kiarabu mimiHujui kama wachungaji wanasoma kiarabu? Siku hizi wachungaji wanasoma kiarabu na tena wanakijua hasa
Zindiko linaandikwaje? Au limepimwa DNA? Itakuwa mchawi kama unajua zindiko linavyoandikwa.Mchungaji anaweza kuandika zindiko? Sijataja kiarabu mimi
SHeikh ubwabwa
Sio kiarab no maneno ya kishirikinaPoleni na majukumu jamani, nisiwachoshe naombeni, naishi kwenye nyumba ambayo nilinunua miaka mitatu iliyopita, Sasa leo katika kufanya usafi na jembe niliona kama ndala pembeni ya ngazi za mlango
Katika kuchimba niitoe ile ndala nikaona kitu kimefungwa na kitambaa cheusi, ndani kukawa na kalatasi la nylon, ndani ya karatasi la nyloni kukawa na karatasi nyingine ya kaki yenye maandishi kama yanavosomeka hapo
Naombeni msaada najua humu hatufanani kuna watu wenye ufahamu zaidi hasa kunipa tafsiri ya maandishi ya kiarabu hapo, tafadhari nipo kwenye wakati mgumu mno, Kaka mshana popote ulipo, natanguliza shukrani.
View attachment 2919270
Zindiko linaandikwaje? Au limepimwa DNA? Itakuwa mchawi kama unajua zindiko linavyoandikwa.
Kwani hujui mazindiko yana andikwa kutoka kwenye kitabu chetu pendwa 🤣Zindiko linaandikwaje? Au limepimwa DNA? Itakuwa mchawi kama unajua zindiko linavyoandikwa.
Wajinga hao isikutishe chochote endelea na maisha yako.Poleni na majukumu jamani, nisiwachoshe naombeni, naishi kwenye nyumba ambayo nilinunua miaka mitatu iliyopita, Sasa leo katika kufanya usafi na jembe niliona kama ndala pembeni ya ngazi za mlango
Katika kuchimba niitoe ile ndala nikaona kitu kimefungwa na kitambaa cheusi, ndani kukawa na kalatasi la nylon, ndani ya karatasi la nyloni kukawa na karatasi nyingine ya kaki yenye maandishi kama yanavosomeka hapo
Naombeni msaada najua humu hatufanani kuna watu wenye ufahamu zaidi hasa kunipa tafsiri ya maandishi ya kiarabu hapo, tafadhari nipo kwenye wakati mgumu mno, Kaka mshana popote ulipo, natanguliza shukrani.
View attachment 2919270
Lengo la aliyeweka hapo ni kumtishia anayeishi hapo nyumbani.Poleni na majukumu jamani, nisiwachoshe naombeni, naishi kwenye nyumba ambayo nilinunua miaka mitatu iliyopita, Sasa leo katika kufanya usafi na jembe niliona kama ndala pembeni ya ngazi za mlango
Katika kuchimba niitoe ile ndala nikaona kitu kimefungwa na kitambaa cheusi, ndani kukawa na kalatasi la nylon, ndani ya karatasi la nyloni kukawa na karatasi nyingine ya kaki yenye maandishi kama yanavosomeka hapo
Naombeni msaada najua humu hatufanani kuna watu wenye ufahamu zaidi hasa kunipa tafsiri ya maandishi ya kiarabu hapo, tafadhari nipo kwenye wakati mgumu mno, Kaka mshana popote ulipo, natanguliza shukrani.
View attachment 2919270
Pole, usiogope jipe moyo mkuu. Omba, ikiwezekana shirikisha na watu wa imani yako, kisha mchome vyote!Poleni na majukumu jamani, nisiwachoshe naombeni, naishi kwenye nyumba ambayo nilinunua miaka mitatu iliyopita, Sasa leo katika kufanya usafi na jembe niliona kama ndala pembeni ya ngazi za mlango
Katika kuchimba niitoe ile ndala nikaona kitu kimefungwa na kitambaa cheusi, ndani kukawa na kalatasi la nylon, ndani ya karatasi la nyloni kukawa na karatasi nyingine ya kaki yenye maandishi kama yanavosomeka hapo
Naombeni msaada najua humu hatufanani kuna watu wenye ufahamu zaidi hasa kunipa tafsiri ya maandishi ya kiarabu hapo, tafadhari nipo kwenye wakati mgumu mno, Kaka mshana popote ulipo, natanguliza shukrani.
View attachment 2919270
Duuuùùuuuuu si kwa huu mkitimoto..yani huu tunaula JF yote na tunabakiza🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Leo ndio nimeamini Waislamu Wa Jf ni Makopo, Kila siku kusoma juzuu na kwenda Chuo, mmeshindwa kutafsiri Hio kitu mumsaidie Mwana?
Au ndio mnalindanaa??
Oya mwamba usioogope, Mwagia mchuzi wa Nyama pendwa View attachment 2919366
Sio makanisa yote yapo hivoUkaliwe pesa zako uliohangaikia miaka 10 zinaliwa 5 min na mjanja huku akiimba iimba