Msaada jamani hiki ni nini?

Msaada jamani hiki ni nini?

Poleni na majukumu jamani, nisiwachoshe naombeni, naishi kwenye nyumba ambayo nilinunua miaka mitatu iliyopita, Sasa leo katika kufanya usafi na jembe niliona kama ndala pembeni ya ngazi za mlango

Katika kuchimba niitoe ile ndala nikaona kitu kimefungwa na kitambaa cheusi, ndani kukawa na kalatasi la nylon, ndani ya karatasi la nyloni kukawa na karatasi nyingine ya kaki yenye maandishi kama yanavosomeka hapo

Naombeni msaada najua humu hatufanani kuna watu wenye ufahamu zaidi hasa kunipa tafsiri ya maandishi ya kiarabu hapo, tafadhari nipo kwenye wakati mgumu mno, Kaka mshana popote ulipo, natanguliza shukrani.

View attachment 2919270
...Sasa Ukijue Cha Nini Wakati Umeishaishi Hapo MIAKA MITATU na hujapatwa na lolote baya ! Ukijue ili iweje ? Tupa mbali au Choma Moto TU !...
 
Attachments

  • IMG-20240210-WA0024.jpg
    IMG-20240210-WA0024.jpg
    102.5 KB · Views: 4
Poleni na majukumu jamani, nisiwachoshe naombeni, naishi kwenye nyumba ambayo nilinunua miaka mitatu iliyopita, Sasa leo katika kufanya usafi na jembe niliona kama ndala pembeni ya ngazi za mlango

Katika kuchimba niitoe ile ndala nikaona kitu kimefungwa na kitambaa cheusi, ndani kukawa na kalatasi la nylon, ndani ya karatasi la nyloni kukawa na karatasi nyingine ya kaki yenye maandishi kama yanavosomeka hapo

Naombeni msaada najua humu hatufanani kuna watu wenye ufahamu zaidi hasa kunipa tafsiri ya maandishi ya kiarabu hapo, tafadhari nipo kwenye wakati mgumu mno, Kaka mshana popote ulipo, natanguliza shukrani.

View attachment 2919270
Usihangaikie kitu kisicho na tija, choma moto uendalee na maisha yako, imani zake za kijinga achana nazo shika imani zako.
 
Nakuona bwana vagina unapenda mambo ya umbea sana
Lini utaenda kusalimiana na majini huko macca kama sheikh mwenzako kipozeo?

Kwani huyo uliyemfanya mungu karudishwa na ibilisi ??

Mathew 4:8
Kisha Ibilisi akamchukua mpaka juu ya mlima mrefu, akamwonyesha falme zote za ulimwengu na fahari zake,

1709208327432.jpeg
 
Kwani huyo uliyemfanya mungu karudishwa na ibilisi ??

Mathew 4:8
Kisha Ibilisi akamchukua mpaka juu ya mlima mrefu, akamwonyesha falme zote za ulimwengu na fahari zake,

View attachment 2920160
hujajibu swali langu bwana vagina
Au hujaenda macca kuswali na majini wenzio kama asemavyo kipozeo?
 
Attachments

  • IMG-20240210-WA0024.jpg
    IMG-20240210-WA0024.jpg
    102.5 KB · Views: 4
Kama eneo ulinunua kwa pesa zako halali endelea kufurahia maisha yako ila kama ulifanya dhuluma lazima nawe udhulumiwe in any way.
 
hiyo ni janja janja ya majirani zako kukupima Imani uogope kuishi apo meaning kwamba hawakutaki wew uishi apo but kwa asie na hatia na mwenye Imani thabiti haina madhara yoyote, ni ya kupiga maombi ya nguvu na kuichoma moto tu 🐒

huo ni mtaji wa kuimarisha na kuongeza Imani yako 🐒

miaka ya nyuma nikiwa mtumishi wa umma ajira ya kwanza kabisa, katika kijiji nilipopangiwa siku ya pili tu tangu niripoti kazini,

usiku nikafungiwa kwa nje na kufuli kabisa na watu wasio julikana, huku hapo mlangoni pakiwa pametapakaa damu ya kuku mweupe jogoo, mkubwa sana na alienona mno, alikua amechinjwa apo mlangoni pangu, sambamba na jogoo palikua na nazi ilovunjwa, ilikua imeandikwa kwa lugha nisiyo ielewa inafanana na hiyo🐒

kwasabb nilikua na msingi thabiti wa Imani, nilitoa taarifa kwa wafanyakazi wenzangu na serikali ya kijiji wakaja wakavunja kufuli nikatoka, baada ya kuvunja lile kufuli kwa njee, tulimnyonyoa yule jogoo tukamchemsha supu na kidari na paja kilichobaki nikapika rosti ya mchuzi mzito na ile nazi 🐒

Aise ilikua amezingi sana na mpaka leo nipo nadunda tyu 🐒
Mkuu,
Bila shaka by that time ulikua unapuliza Jani la BOB 😊😊 Sio Kwa hiyo mi confidence...

NB:
Dogo mmoja miaka Mingi sana iliyo pita ofsn nilio kua nafanyia kazi mshikaji Kwa ujanja mkubwa wakat wa lunch alipenyezewa jumbe mfukoni bila yeye kujua imeandikwa kama kombe za kiislamu na alipo jisachi akaukuta huo ujumbe alipo fuatilia wadau wanao jua arabic wamsomee ndipo alipo jua ume andikwa Kwa kiarabu Inna lilaah waina lilai rajuun "Bwana ametoa bwana ametwaha jina la bwana libalikiwe"" Acha jamaa apanic na kuingiwa na hofu kumbe wadau walikua wanamtikisa akili 😊😊😊
 
Nikuitie Sheikh Ngunde aje akufanyie kisomo? Mimi huwa namtumia kwenye issues zangu. Hapo kuna majini yaliwekwa kuilinda nyumba. Una muda gani ukiwa hapo? Au nikuachie mshana ndo aje kukujibu.
 
Mulize yule alitingwa roba pangoni alifanywa nini na ibilisi mpaka akawa kichaa
Math 4:8 Alichukuliwa mpaka juu milimani na ibilisi akataka kuhongwa miji ibilisi kama vile yeye siye anayemiliki hiyo miji , utopolo mtupu
 
Aliewaambia mshana anajua kiarabu ni nani?
Aisee,
Kiarabu ni kama Lugha nyingine zozote, hata Michael Naweza jua Kiarabu wakati Mohamed anajua vzr kiebrania.
Uache kukariri, nyakati hizi kila kitu ni kinawezekana!
 
Back
Top Bottom