Msaada tafadhali: Sijui ni msongo wa mawazo au nini hiki?

Msaada tafadhali: Sijui ni msongo wa mawazo au nini hiki?

Mynd177

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2022
Posts
3,167
Reaction score
5,658
Wakuu habari za leo?
Poleni na majukumu.

Mimi ndugu yenu nina changamoto ambayo kiukweli ni kama nashindwa kuishughulikia. Nimekuwa mtu wa huzuni sana, kiasi mpaka naanza kujiona sina thamani yoyote.

Nimetumia kilevi lakini wapi tena hiki ndo kimezidisha matatizo yangu maana kimenitumbukiza katika matatizo ya kiuchumi.

Mimi nina imani katika Mungu nina sali lakini wapi, hali hii inaweza kupungua kwa muda lakini inarudi mpaka nina mashaka kama kweli Mungu ana muda na mimi.

Ni kweli kuwa sina pesa lakini sijawahi kukosa pesa za mahitaji yangu na paa juu ya kichwa changu.
Nimekuwa najiuliza nn kinasabisha(trigger) hali hii sipati majibu. Kifupi tu ni kuwa nina MOOD SWINGS.

Najua kuna watu hapa wana exposure tofauti na wanasaikolojia wapo hapa tafadhali naombeni msaada hata wa mawazo tu.

Msiwe na wasiwasi sitaomba pesa.

samahani si mwandish mzuri.

Natanguliza shukrani.
 
Mbona mimi ni wa hawa hawa waandishi wa hii makala mbaya zaidi naona kama members wananijudge visivyo...kuna muda nilitaka kuachana nao.

Hata kutafsiri kiswahili kina washinda, hawa ndio NGO za uwongo!
 
Nenda hospital kitengo cha psychiatric unit umwone doctor atakuandikia dawa za antidepressant.
Huo ni ugonjwa kama magonjwa mengine.
Mwenye Enzi Mungu akusimamie katika hili walahi [emoji2972]
Nashukuru mkuu nitafanya hvyo.
 
Mbona mimi ni wa hawa hawa waandishi wa hii makala mbaya zaidi naona kama members wananijudge visivyo...kuna muda nilitaka kuachana nao.
Pole nadhani unahitaji utulivu zaidi maana ukikosa utulivu utaharibu zaidi
 
Wakuu habari za leo?
Poleni na majukumu.
Mimi ndugu yenu nina changamoto ambayo kiukweli ni kama nashindwa kuishughulikia. Nimekuwa mtu wa huzuni sana, kiasi mpaka naanza kujiona sina thamani yoyote. Nimetumia kilevi lakini wapi tena hiki ndo kimezidisha matatizo yangu maana kimenitumbukiza katika matatizo ya kiuchumi.
Mimi nina imani katika Mungu nina sali lakini wapi, hali hii inaweza kupungua kwa muda lakini inarudi mpaka nina mashaka kama kweli Mungu ana muda na mimi.. Ni kweli kuwa sina pesa lakini sijawahi kukosa pesa za mahitaji yangu na paa juu ya kichwa changu.
Nimekuwa najiuliza nn kinasabisha(trigger) hali hii sipati majibu. Kifupi tu ni kuwa nina MOOD SWINGS.
Najua kuna watu hapa wana exposure tofauti na wanasaikolojia wapo hapa tafadhali naombeni msaada hata wa mawazo tu.
Na kwa yeyote atakayeniazima sikio(LISTENING HEAR) ntashukuru namba yangu ni 0629295440.
Msiwe na wasiwasi sitaomba pesa.

samahani si mwandish mzuri.
Natanguliza shukrani.

Pole sana kwa shida hii.

Kama ni mtu wa kusali sana na unaamini katika maombi ya vita

Funga siku 3
Omba maombi ya kuilaani roho ya trauma, ukimaliza ikemee iondoke.

Ni muhimu sana kuilaani kabla ya kuanza kuikemea, maana kuilaani kunaipunguzia nguvu sana, na hata kama haitaondoka lakini itapunguza sana nguvu yake na utaona mabadiliko

Lakini ikiwa bado shida inaendelea, badili maombi uanze maombi ya mahakamani

Muombe Mungu akufunulie kwa ndoto au staili yoyote atakayoona inafaa vyanzo vya hii shida legally, mara nyingi unaeza kuta ni attempt ya wazazi kutaka kuitoa mimba yako, au mateso ya ujauzito aliyopitia mama yako kabla ya kuzaliwa au majanga mengine ya kimaisha, chanzo kinaweza kuwa chochote.

Halafu peleka hio kesi mahakama ya kiroho inaitwa Mahakama ya Mashitaka, umuombe Mungu aingilie kati kwa staili moja kati ya hizi

1)Kuondoa leagal grounds zote za stress kwenye maisha yako, mara nyingi hii ni njia ndefu na inaweza kuku cost hata mwezi, maana haya mambo yan mizizi mirefu sana, ila ukifanikiwa utakuwa umesolve tatizo mazima.

2)Staili ya pilo ni kuomba Mungu aachilie restraining order kwa roho zote za stress na sonona kwa grounds kuwa unahitaji muda kishughulikia, happ unaeza taja miaka unayotegemea utakuwa umeshughulikia hili tatizo legally

Na utapewa miaka yako uliyoomba, tatizo ni kuwa shida zitakoma ila miaka ikiisha tu na wewe kama uliamua ku relax hukuendelea kushughulika na vyanzo vya tatizo, shida zote zinarudi kama mwanzo

Ndio maana option ya kwanza hapo juu ni better.

Ipo njia ambayo ni ultimate, ambayo ni kupeleka tatizo hilo mahakama ya Juu zaidi, inaitwa Mahakama Kuu ya Mbinguni, hii ni kama Mahakama ya Rufaa kwa hapa Bongo

Tatizo la kesi zinazopelekwa huko Mahakama Kuu zinahitaji uwe expert kwenye legal system ya Ufalme wa Mungu, lakini pia uwe na atleast watu wawili, maana yake jumla muwe watatu

Japo ma expert huwa wanaenda wenyewe na kuomba usaidizi wa Roho Mtakatifu na viumbe wanaitwa Wingu la Mashahidi, kwa hiyo akidi inatimia, ila hii ni kwa walio ma expert sana

So anza na mahakama ya Mashtaka maama hii ni kama mahakama ya mwanzo, protocols zake ni simple na makosa ya upande wa utetezi yanavumilika

Kila la heri
Na Mungu akutangulie.
 
Nashukuru mkuu ngoja nikazane na maombi.
Pole sana kwa shida hii.

Kama ni mtu wa kusali sana na unaamini katika maombi ya vita

Funga siku 3
Omba maombi ya kuilaani roho ya trauma, ukimaliza ikemee iondoke.

Ni muhimu sana kuilaani kabla ya kuanza kuikemea, maana kuilaani kunaipunguzia nguvu sana, na hata kama haitaondoka lakini itapunguza sana nguvu yake na utaona mabadiliko

Lakini ikiwa bado shida inaendelea, badili maombi uanze maombi ya mahakamani

Muombe Mungu akufunulie kwa ndoto au staili yoyote atakayoona inafaa vyanzo vya hii shida legally, mara nyingi unaeza kuta ni attempt ya wazazi kutaka kuitoa mimba yako, au mateso ya ujauzito aliyopitia mama yako kabla ya kuzaliwa au majanga mengine ya kimaisha, chanzo kinaweza kuwa chochote.

Halafu peleka hio kesi mahakama ya kiroho inaitwa Mahakama ya Mashitaka, umuombe Mungu aingilie kati kwa staili moja kati ya hizi

1)Kuondoa leagal grounds zote za stress kwenye maisha yako, mara n
 
God's theory helps you overcome the worst of weathers. That's just about it.
 
Wakuu habari za leo?
Poleni na majukumu.

Mimi ndugu yenu nina changamoto ambayo kiukweli ni kama nashindwa kuishughulikia. Nimekuwa mtu wa huzuni sana, kiasi mpaka naanza kujiona sina thamani yoyote.

Nimetumia kilevi lakini wapi tena hiki ndo kimezidisha matatizo yangu maana kimenitumbukiza katika matatizo ya kiuchumi.

Mimi nina imani katika Mungu nina sali lakini wapi, hali hii inaweza kupungua kwa muda lakini inarudi mpaka nina mashaka kama kweli Mungu ana muda na mimi.

Ni kweli kuwa sina pesa lakini sijawahi kukosa pesa za mahitaji yangu na paa juu ya kichwa changu.

Nimekuwa najiuliza nn kinasabisha(trigger) hali hii sipati majibu. Kifupi tu ni kuwa nina MOOD SWINGS.

Najua kuna watu hapa wana exposure tofauti na wanasaikolojia wapo hapa tafadhali naombeni msaada hata wa mawazo tu.

Na kwa yeyote atakayeniazima sikio(LISTENING HEAR) ntashukuru namba yangu ni 0629295440.

Msiwe na wasiwasi sitaomba pesa.

samahani si mwandish mzuri.

Natanguliza shukrani.
Nakupa options 2

1) Looks like Bipolar disorder kwa psychologists, jaribu kuwaona hao utest dawa zao. Ikishindikana basi option 2 inaweza maliza mchezo

2) Kuna jini linaitwa jini mauti. Hili ukitupiwa unakua mtu wa mawazo ya ghafla tu, unakua unahihisi hauna nguvu kabisa hata kama haumwi, linafanya kila kitu unachokianzisha usikifikishe mwisho hata kama ni kizuri kiasi gn au kina uwezekano mkubwa kufanikiwa ila hzo mood swings zinafanya usikifikishe mwisho. Dalili nyingine ni kutopenda ushauri, hasira za ovyo, kuwa mtu wa kufanya maamuzi ya haraka na kujutia baadae. Na pia likipanda utatapatapa kutokaa shm moja, mara ujaribu pombe, mara malaya, etc.....

Sasa kama una hizo dalili tafuta sheikh akufanyie kisoma au ukatolewe hilo jini kwa mganga

Mshana Jr Leo nimekuibia fani, sijui kama una experience na huyu jini mauti utupe elimu zaidi. Niliiona tu kwa jamaa yangu wa karibu na akapikwa dawa akapona kabisa
 
Kitunguu saumu ndio dawa ya magonjwa yote ya kipumbavu mfano
1 Mvurugiko wa akili
2.kukata tamaa
3.kushuka moyo
4 kuumizwa moyo
5.kuvunjwa moyo
6.stress
7.Maumivu ya kichwa
8 ndoto za kipumbavu pumbavu
9.ni first aid ya magonjwa yote ya kichawi, au kiroho. Dawa zao hazipatani na harufu ya kitunguu saumu inaua nguvu za dawa zao.
10.Shida ya ukosefu wa usingizi
11.Uchovu wa mwili na roho
12.Moyo kwenda mbio
13.Hofu
Nk
So tumia kitunguu saumu au paka vicks KISHA ikatae hio hali. Utakaa sawa sekunde nyingi
Jiulize kwann Wahindi na Wachina asubui ukiongea nao wananuka kitunguu saumu.
Kitunguu saumu uwapa positivity siku nzima, nguvu ya kutenda Kazi kimwili na kiroho.
Baada ya kugundua siri ya kitunguu saumu, hayo magonjwa ya kipumbavu ayanisumbui, nipo positive mda wote.
Kwanza tumia punje za kitunguu saumu tafuna au paka mafuta yake, pili ikatae hio hali ya unyonge, dakika nyingi utakaa sawa.
 
ahsante mkuu..
 
Mungu anakupa kle unasitahili sio kle umeomba
Nazan tafuta msaada wa kitaalam mambo ya Mungu na Iman sio vtu vya kitaalamu ni vtu vya iman na vinataka uamin ili upate msaada

Mungu sio jibu la kla mattzo yako yote dunian ndo maana Mungu akaweka watu ili tusaidiane na kupeana majbu
 
Back
Top Bottom