29Oct2025
JF-Expert Member
- Apr 19, 2023
- 5,978
- 8,267
Kama mudi alivyofinywa pangoni 😅😅Math 4:8 Alichukuliwa mpaka juu milimani na ibilisi akataka kuhongwa miji ibilisi kama vile yeye siye anayemiliki hiyo miji , utopolo mtupu
Kama mudi alivyofinywa pangoni 😅😅Math 4:8 Alichukuliwa mpaka juu milimani na ibilisi akataka kuhongwa miji ibilisi kama vile yeye siye anayemiliki hiyo miji , utopolo mtupu
Wewe ndio uliekariri sio Mimi. Kwahiyo kitu chochote kinachohusu uganga mnamsumbua jamaa kisa mmekariri. Waislam koko wa JF wenyewe wameshindwa😂Aisee,
Kiarabu ni kama Lugha nyingine zozote, hata Michael Naweza jua Kiarabu wakati Mohamed anajua vzr kiebrania.
Uache kukariri, nyakati hizi kila kitu ni kinawezekana!
Kama mudi alivyofinywa pangoni 😅😅
Poleni na majukumu jamani, nisiwachoshe naombeni, naishi kwenye nyumba ambayo nilinunua miaka mitatu iliyopita, Sasa leo katika kufanya usafi na jembe niliona kama ndala pembeni ya ngazi za mlango
Katika kuchimba niitoe ile ndala nikaona kitu kimefungwa na kitambaa cheusi, ndani kukawa na kalatasi la nylon, ndani ya karatasi la nyloni kukawa na karatasi nyingine ya kaki yenye maandishi kama yanavosomeka hapo
Naombeni msaada najua humu hatufanani kuna watu wenye ufahamu zaidi hasa kunipa tafsiri ya maandishi ya kiarabu hapo, tafadhari nipo kwenye wakati mgumu mno, Kaka mshana popote ulipo, natanguliza shukrani.
View attachment 2919270
Ikojolee MkuuPoleni na majukumu jamani, nisiwachoshe naombeni, naishi kwenye nyumba ambayo nilinunua miaka mitatu iliyopita, Sasa leo katika kufanya usafi na jembe niliona kama ndala pembeni ya ngazi za mlango
Katika kuchimba niitoe ile ndala nikaona kitu kimefungwa na kitambaa cheusi, ndani kukawa na kalatasi la nylon, ndani ya karatasi la nyloni kukawa na karatasi nyingine ya kaki yenye maandishi kama yanavosomeka hapo
Naombeni msaada najua humu hatufanani kuna watu wenye ufahamu zaidi hasa kunipa tafsiri ya maandishi ya kiarabu hapo, tafadhari nipo kwenye wakati mgumu mno, Kaka mshana popote ulipo, natanguliza shukrani.
View attachment 2919270
Huo ni mkwara tu, hata asipochoma moto poa tu.Usiogope..sali kwa imani yako.
Choma moto hiyo kitu hakuna baya litakutokea.
Ni kweli 😅😅Huo ni mkwara tu, hata asipochoma moto poa tu.