beberu777
Senior Member
- Feb 28, 2017
- 198
- 201
sikia inawezekana mi nimejenga kwa 1.5 :- chumba kimoja kinaingia tofali 350
350x1000=300000×2=60000
mchanga unatumia uliochimba kwenye choo.
linter itakugarimu 200000.
fundi kila chumba utampa 150000x2
itabakia laki 7 laki 2 unanuna bati used pale veternar zinatosha vyumba viwili
laki 2 mbao used na kupaua.
itabaki laki 300000
50000 unanua mlango used mkali pale yombo kilakala temeke
50000 utampa fundi akupachikie
itabaki laki 200000
50000 usafiri pamoja na maji
150000 mengineyo. NIULIZE SWALI LOLOTE NIKUSAIDIE KUHUSU UJENZI RAHISI.