Fanya hivi.kwa sababi
Kwa sababu kama huna kazi nyingine tayari hiyo m2 umeshaipunguza kwa kupigia supu.nakushauri kesho peleka matofali 500 hapo site .mwambie fundi unataka rumu mbili za ft8 kwa ft8. Na atakutajia bei yake atasema 500,000 wewe mwambie una 200,000 mpaka kumaliza .halafu wewe mwenyewe utakuwa saidia fundi.hapo utakuwa umebaki na sh 1300,000. Mifuko 20 ya cement dangote itamaliza(260,000/=).ila linta(beam) itakuwa ya nondo 1 mm 12 mbili.na kokoto zitakuwa zile ubuyu siyo msolwa ndoo 40.mbao za linta utaazima .bati 25 zitatosha
Angalia pia hapo chini.nimejaribu kuakisi mahitaji yake
Tuanze kujua vifaa vinavyo hitajika kwa vyumba viwili vyenye ukubwa wa chini kabisa ft 9 x 9 halafu wewe nenda ujue bei yake
1.Mchanga lory kubwa moja (tani 18)
2.Matofali 600.kama sehemu ni tambalale.kama kiwanja hakiko tambalale msingi utakula matofali karibu yote hayo.
2.Nondo za rinta ya juu mlimita 12 zile za machale.chukulia unabana matumizi. nondo mbili mbili badala ya 4 itabidi hivyo utatakiwa nondo 4 hivi zitatosha kwa rinta la nje tuu.vyumbani unapotezea.
4.kokoto ndoo 25 za rinta(za ubuyu) siyo msolwa.
5.maji ya kujengea utahitaji mapipa 20.kwa sababu kwenye kumwagilia rinta utatumia nusu yake.
6.utakodi mabao ya rinta.pia mbao kidogo na mirunda michache utatakiwa kununua kwa sababu zile za kuazima huwa hazikatwi.pia mirunda ikiwa imara ukimaliza kazi utaitumia kufunikia shimo la choo au utaezekekea jiko la nje
7.Mlinzi wa kulinda vifaa(labda jiweke mwenyewe).au utakuwa unaweka kwa majirani.
8.mifuko 30 ya cement ya bei ya chini ni kisarawe au rhino.hii itamaliza na kupata ya kuwekea rough floor.ila ratio iwe ya kawaida sana
9.Mabati 25 ya futi 10 gauge 32.yatabaki kidogo ya kuezekea na jiko na choo hapo nje
10.mbao za kupaka dudu kill .zile za 2x4 kama 20 na 2x2 kama 8 zenye urefu wa ft12
11.misumari mchanganyiko kilo 13 ( ya bati, nch 4 na nch 3).pia weka na binding wire kama kg4
12.madirisha mawili ya futi 4 ya mlingoti yenye nondo.
13.Frame 2 za mlango ya mtondoo.
14.Mlango mmoja wa mbele chukulia chumbani utaweka pazia kwa kuanzia.
15.kwa ajili ya choo.utahitaji shimo la kuanzia futi 10.jua linachimbwa kwa kiasi gani.pia kwa sababu ni choo cha nje .unaweza kihitaji angalau tofal 65 hivi.shimo usilijengee toka chini kuepuka gharama.pia kumbuka miti ya kufunikia shimo.bati siyo lazima kama hazikubaki potezea .ila hakikisha kinasakafiwa kwa sababu pia kitatumika kama bafu
16. Ukishapata gharama za vifaa hapo juu pamoja na za uchimbaji wa shimo la choo.
17.anza kutafuta mafundi na kujua bei ya kujenga rumu mbili za ft8x8 kutoka msingi mpaka mwisho sh.ngapi
17.tafuta gharama za ufundi wa kupau
18.Potezea lipu, ulizia gharama za kupachika frame na kupachika madirisha.
Uliza fundi atakuchaji. ngapi kufunga mlango.
19.uliza huyo huyo fundi wa kujenga gharama za ujenzi wa choo chenye ukubwa wa fut 4 x 4
20.Ukimaliza kujua gharama kutoka 1 hadi 19 hapo tafuta 20% yake halafu jawabu lake liongeze kwenye hizo gharama.hizi ni gharama za vitu tulivyosahau.
Hivyo jumlisha gharama zote toka 1 hadi 20.ndiyo gharama ya nyumba ya vyumba viwili
Ukiona gharama zinazidi hiyo M 2, fanya uanze kujenga chumba kimoja kwanza
Habari zenu wakuu,
Kwenye shughuli zangu za hapa na pale nimepiga bingo nna milion mbili cash ndani nataka kuondokana na maisha ya kupanga nna kiwanja Goba-Mbezi, je nitaweza kujenga vyumba viwili nikaamia kwa gharama ya milioni2.
Msaada wenye uzoefu please
Kwa sababu kama huna kazi nyingine tayari hiyo m2 umeshaipunguza kwa kupigia supu.nakushauri kesho peleka matofali 500 hapo site .mwambie fundi unataka rumu mbili za ft8 kwa ft8. Na atakutajia bei yake atasema 500,000 wewe mwambie una 200,000 mpaka kumaliza .halafu wewe mwenyewe utakuwa saidia fundi.hapo utakuwa umebaki na sh 1300,000. Mifuko 20 ya cement dangote itamaliza(260,000/=).ila linta(beam) itakuwa ya nondo 1 mm 12 mbili.na kokoto zitakuwa zile ubuyu siyo msolwa ndoo 40.mbao za linta utaazima .bati 25 zitatosha
unaweza japo litakuwa banda na sio nyumba ambayo inaweza kukusitiri unahitaji tofari zisizopungua 1200 vyatua mwenyewe kwa kila mfuko tofari 40 unaweza ukagushi mpaka 45 ila maji mengi baada ya kuzivyatua na pia unapojenga saruji iwe kali. mifuko 30 ya cement itahitajika amboyo ni sawa na 360,000/-
utahitaji lory tano za mchanga wastani wa lory moja 120,000/- sawa na 600,000/-
nondo mbili mm12 sina uhakika na bei lakini inaweza kuwa 40,000/-
saruji ya kujengea kila tofari 60 mfuko mmjoa mifuko 20 sawa na 240,000/-
malango weka wa bati kwa dharura na madilisha weka kwanza wa mbao rahisi kila dirisha 30,000 madilisha manne 120,000/-
kitu bati bwana! weka bati la mstaafu gaji 30 au 32 kama zipo kila bati ukizunguka vizuri linaweza kuwa 8000/- unahitaji baji kama 30 sawa 240,000/-
mbao tenga 200,000/-
inabaki laki mbili fundi zinamfaa kabisa mpaka kuezeka.
sasa mafundi karibuni kwa data sahihi ila kwa kifupi unaweza kukamilisha kwa zaidi ya asilimia 75.