Msaada: Gharama za nyumba ya vyumba viwili

Habari zenu wakuu,,
kwenye shughuli zangu za hapa na pale nimepiga bingo nna milion mbili cash ndan nataka kuondokana na maisha ya kupanga nna kiwanja Goba-Mbezi je ntaweza kujenga vyumba viwil nikaamia kwa gharama ya mill2,,, msaada wenye uzoefu please
Unaweza hata vyumba vitatu, ila ujue jinsi ya kutumia vifaa vya ujenzi vya bei ndogo.
 
images
 
anza na tathmini ulizia vifaa na mafundi, matofari kiasi gani yaani PLANNING
hata yesu alisema ni Mtu gani anayetaka kujenga, aanze kujenga kabla hajajua gharama asije akaishia njiani watu wakamcheka?(luka 14:28).

kijijini sawa tena na wewe uwe fundi au saidia fundi, ila mjini labda uanze na ya Miti.
 
nataka ya kawaida tu hata bat iz za kawaida sio msauz nilitaka nipate uhakika kama inawezekana ndo nmtafute fund
 
anza na tathmini ulizia vifaa na mafundi, matofari kiasi gani yaani PLANNING
hata yesu alisema ni Mtu gani anayetaka kujenga, aanze kujenga kabla hajajua gharama asije akaishia njiani watu wakamcheka?(luka 14:28).

kijijini sawa tena na wewe uwe fundi au saidia fundi, ila mjini labda uanze na ya Miti.
tofali nimeulizia wanauza elfu moja had site usafir juu yao ila sijajua vyumba viwil zinaingia tofar ngap na fund anajenga kwa tsh ngap
 
tofali moja ni 1000 had kiwanja kilipo sijajua zinaingia tofali ngap vyumba viwili
 
Ww anza kujenga,
nyumba hujengwa kidogo kidogo
kama fedha unaipata kidogo kidogo
Ww vuta mchanga na tofali weka cite....
nunua mifuko kumi ya cement tenga na hela ya fundi
.....baas
hela yenyewe niliyonayo ndo hii hii mwez wa 6 kodi yangu inaisha nataka nijenge niamie kwangu kwa hela hii maana sina uhakika wa kupata nyingine ivi karibun
 
tofali nimeulizia wanauza elfu moja had site usafir juu yao ila sijajua vyumba viwil zinaingia tofar ngap na fund anajenga kwa tsh ngap
ulizia kwanza mwenyewe maana humu kila mtu atatoa uzoefu wake.
ukubwa wa vyumba pia unachangia tofali ngapi.
choo vipi hujengi? hapo pia kuna gharama ya shimo.
mabati, pita uulizie mitaa ya tazara, huwa kuna mabati ya bei rahisi geji za ujanjaujanja.
mbao vipi au utatumia miti/mirunda ulaze bati.
misumari haihitajiki sana,
milango na madirisha vipi, au utatengeneza wa bati,
naona watu wanahamia kachumba kamoja na maisha yanaendelea. tafiti mwenyewe. no gain without pain.

ila ukianza tu kuchimba msingi utafanikiwa mkuu. anza mdogomdogo.
 
Back
Top Bottom