mahatmaxlla
JF-Expert Member
- Nov 26, 2017
- 956
- 1,554
Kuna rafiki yangu kajenga huo huo mtaa vyumba vitatu na sebule lakini mpaka sasa kaishia kwenye lenta
Atamalizia siku nyingine au sioWe jenga bana....itakapoishia ndio hapo hapo.........
Unaelewa maana ya nyumba ya vyumba viwili? Afu acheni utani nn million 2?Habari zenu wakuu,
Kwenye shughuli zangu za hapa na pale nimepiga bingo nna milion mbili cash ndani nataka kuondokana na maisha ya kupanga nna kiwanja Goba-Mbezi, je nitaweza kujenga vyumba viwili nikaamia kwa gharama ya milioni2.
Msaada wenye uzoefu please
Ulitakiwa unipe pesa but kwa kuwa ni mpambanaji nakutumia
15m kwa kila kitu
Nataka kujenga nyumba ya vyumba viwili vya kulala, sebule, public toilet/bafu, jiko dogo, katika hivyo vyumba viwili kimoja kiwe na choo/bafu ndani.
Kiwanja tayari ninacho 20 *20. Ninaplan kujenga nyumba ya kuanzia maisha maana kwa usawa huu nimeona nikikimbilia kujenga nyumba kubwa haitoisha na nitaendelea kupanga kwa muda mrefu. Nikishaamia kwenye nyumba yangu ndio nitaanza kujenga nyumba kubwa maana naamini uwanja utabaki wa kutosha.
Msaada wa makadirio jamani, naamini kuna watu wanauzoefu na ujenzi humu.
Ndugu punguza msongo wa mawazo kwanzaSo siwezi pata msaada hapa? Or I should have written udaku fulani hivi ndio ningeona responses!
15m kwa kila kitu
GHARAMA = TOTAL SQM (FLOOR PLAN) X 500,000/=
Mzee hii uhakika mpaka nahamia ama mpaka kupaua tuu?
Hiyo hiyo standard ndio nataka... Cha msingi tiles ac ipo basi sitaki mbwembwe nyingiKuhamia using standard and not extravagant of very high end finishing materials.
Kuna vitu havikwepeki kumbana sana fundi mwisho wake mbayaAiseee, imekaa vizuri, ila nawe awe mbishi, wa kubishana bei, asiwe na papara, achunguze na kuangalia zile mbao used materials zisiwe zimechoka sana, bei za vifaa navyo aangalie asibambikwe
Ujenzi mgumu sanaKuna rafiki yangu kajenga huo huo mtaa vyumba vitatu na sebule lakini mpaka sasa kaishia kwenye lenta
Mawazo yako kama Mimi shida sijapata mtu wa kunishauliNataka kujenga nyumba ya vyumba viwili vya kulala, sebule, public toilet/bafu, jiko dogo, katika hivyo vyumba viwili kimoja kiwe na choo/bafu ndani.
Kiwanja tayari ninacho 20 *20. Ninaplan kujenga nyumba ya kuanzia maisha maana kwa usawa huu nimeona nikikimbilia kujenga nyumba kubwa haitoisha na nitaendelea kupanga kwa muda mrefu. Nikishaamia kwenye nyumba yangu ndio nitaanza kujenga nyumba kubwa maana naamini uwanja utabaki wa kutosha.
Msaada wa makadirio jamani, naamini kuna watu wanauzoefu na ujenzi humu.
Wewe tajiri utaliita banda la kuku. Na kwa matajiri wakubwa, mabanda yao ya kuku thamani yake ni ya sh. million 40. Hivyo hata wewe hiyo nyumba yako uliyoijenga kwa sh million 40 hao matajiri wakubwa wanaiona kama kakibanda ka kuku tu.Hii labda koromije,,,,,darslamu hili ni Banda la kuku.Milioni mbili nilijenga Banda la kuku na bati nilichukua Tazara veterinary.