Msaada: Gharama za nyumba ya vyumba viwili

Msaada: Gharama za nyumba ya vyumba viwili

Inategemea na gharama ya materials kama yapo karibu na mengine ni bure unaweza hamia kabisa kwa chumba na sebule.
 
Kwa wazoefu hebu msaidieni jaman, kupanga kuna rudisha maendleo ya watu nyuma hasa kwa hapa mjini
Kwa mtu asiye na kipato cha uhakika kunarudisha nyuma mkuu, kwa mwenye mzunguko mkubwa wa pesa kupanga yaweza kuwa rahisi kuliko kujenga!!!!
Namshauri mtoa uzi ajenge hata chumba kimoja na choo itamsaidia...
 
Tofari 1400@1000 ni1,400,000.inabaki laki sita .fundi bado,mchanga bado,kokoto bado,mbao bado,nondo bado,maji bado bati bado,misumari bado,kuchimba msingi bado,madirisha na milango bado ,fundi hajaiba kidogo.Labda ujenge mbavu za umbwa.
Mkuu tofali 1400 unajua zinajenga nyumba ya room 3 masterbed room, stoo, jiko na sebule
 
Haiwezekani labda uchimbe msingi mkuu,hiyo hela ni ndogo sana kwa nyumba ya maana hata hama ni room 2
 
Aisee...I luv JF
Labda kweli ngoja nipige hesabu ya choo/bafu cha kawaida
Choo na tank 180,000
Sink na mguu wake 150,000
Taps 50,000
Shower kit 150,000
Tiles 120,000
Tiles ukutani 120,000
Hapo tayari kama 700,000
Bado matofali,cement,bati,mbao,kokoto
teh..teh... huu ni ujenzi wa thamthilia tena mara nyingi unashinikizwa na kina mama (wake zetu) utafikiri tumewatoa ikulu wakati tunawaoa!
ila kwa ujenzi wa kuepukana na kodi na kupambana na changamoto hapoa upo nusu nyumba
 
Mkuu usikate tamaa subili iyo iongezeke au jenga banda la makuti itatosha.
 
Choo vipi?
Ceiling board/gypsum?
Vifaa vya umeme?
Plumbing?
Plaster/rangi?
Rough floor ndani?

au anapanga matofali tu anaishi bila umeme,maji na choo?
Kiongozi inavyoonesha umekulia maisha ya kitajiri sana
Toka uko masaki njoo huku uswazi uone mtu kajenga nyumba ya vyumba sita haina maji,umeme,plaster na watu wana furaha na amani tembea uone!
 
Utaweza kujenga Chumba kimoja,ambacho hakina zile finishing za kibabe,Wazo zuri hili anza na hicho kimoja kingine utaongeza ukiwa kwako sawa eh wasikuvunje moyo,
 
E="Chiwa, post: 26858790, member: 10269"]teh..teh... huu ni ujenzi wa thamthilia tena mara nyingi unashinikizwa na kina mama (wake zetu) utafikiri tumewatoa ikulu wakati tunawaoa!
ila kwa ujenzi wa kuepukana na kodi na kupambana na changamoto hapoa upo nusu nyumba[/QUOTE]
Aiseee.
 
Kiongozi inavyoonesha umekulia maisha ya kitajiri sana
Toka uko masaki njoo huku uswazi uone mtu kajenga nyumba ya vyumba sita haina maji,umeme,plaster na watu wana furaha na amani tembea uone!
Kwani huyu amespecify anataka nyumba ambayo haina hivyo vitu? Btw nakaa uswazi kuweka hivyo vitu haihitaji uwe tajiri.
 
images
Kaghorofa mshenzi.
 
FUNDI =600,000.
TOFALI 1000 *1300 =1,300,00
KOKOTO LORI M3 10 = 600,000
MCHANGA M3 10 = 300,000
NONDO 12M=10 = 160,000
CEMENT MF 20*14000 =280,000.
MBAO 2*2 30 *10,000=300,000
2*4 20*20000= 400,000
MABATI 20*20000= 400,000
OTHERS= = 500,000
3,840,000.00
 
Back
Top Bottom