Msaada: Box gani latest lenye uwezo wa kuflash simu aina nyingi?

inawezekana but it depend with model but some all model pass well
fata instruction
1.zima wifi modem
2.andika imei number
3.weka sim card ya mtandao mwingine.(kama ni voda weka airtel au tigo etc)
4.washa na connect wifi network created by your router
5.open http://192.168.8.1 or http://pocket.wifi (itasema Router Locked or invalid Sim )
6.Goto Advance Setting >> sim setting >>Unlock device
7.utapata kibox cha kuweka unlock code.
8. replay imei code hapa nikupe code za kuunlock pamoja na model
860667013643197
 
Vipi kama simu inaandika emergency calls only na pia haitaki ku-register network yoyote whether manually au automatically
 
Uploads ni zako mkuu?? Nikimaanisha hizi software ume test au kuzitumia wewe na zikakubali??

No kutoka kwenye account yangu ya 4shared yaani Mimi ndo niliyefanya upload na zote nimeshatumia zinafanya kazi 10000000%
 
mkuu unatimia software gan unlocking phone by imei

Baadhi ya box zina option ya code calculator kwa baadhi ya cmu na box nyingine kama infinity zina server unlock ambapo no lazima uwe na credit kwenye account yako then baada ya login unafanya server unlock while wanapunguza credits zako kulingana na aina ya cmu coz kila cmu ina price yake
 
ok mkuu nimeelewa vizur
 
mkuu box gan ina code calculator na kuna crack inaweza kukubali io feature
 
Baadhi ya box no kama nck, avenger, furious gold, sigma na nyingne.. mara nyingi code calculator huwa ktk main module ya box husika na crack ya main module ni adimu sana asee kwa kiwa main module ndo module mama
 
x-bo model v3+ hii ni simu ya kichina mkuu

hizo huwa imei zake ziko blacklisted na TCRA au kwa lugha nyepesi tunasema zimefungiwa, kuna namna ya kufanya ukazibadilisha dini ikawa inatumika kama kawaida ila hyo ni jela.. jela miaka 10 au faini mil30 au vyote kwa pa1 .. siwezo hata nkakuelekeza namna ya kufanya.. sorry for that
 
2991 start button haileti option nishajaribu ya kuchange date still bado viph Kuna alternative nyingine na kuhusu kujua model ya simu
 
2991 start button haileti option nishajaribu ya kuchange date still bado viph Kuna alternative nyingine na kuhusu kujua model ya simu
fungua folder ambayo hiyo miracle imekuwa installed then fungua box data then delete kitu inaitwa HANDLE
 
Back
Top Bottom