Msaada: Box gani latest lenye uwezo wa kuflash simu aina nyingi?

angalia soko lako mkuu, halafu ufanye research. yapo mabox yanaflash mediatek, kuna snapdragon kuna ya samsung etc, kuna mabox yanatoa lock za simu kama huawei mengine hayatoi, mengine yana support nzuri mengine hayana etc

cha muhimu angalia soko na simu gani zinakuja sana hapo halafu ndio ufanye maamuzi.
 
sheria gani inayosema kuflash simu ni kosa eti?, nina bachelor ya laws(LLB) na ni fundi cmu.. nijuacho ni kwa sheria ya nchi yetu kubadili imei ndo kosa. kumbuka kuna imei repair na imei change, kurepair imei si kosa bt kuchange imei ndo kosa na c kuflash wala unlock.. acha kupotosha watu hapa
 
Umesahau TCRA walisema nini kipindi cha kufungia simu feki?
kuna utofauti kubadili imei na kuflash, sidhani kama wamekataza kuflash sababu haya mambo ni kuflash

-kueka windows kwenye mashine yenye ssd au emmc
-ku update simu official, update inayotoka kwa manufacture

kama wamekataza inamaana kampuni zote zifungiwe za simu sababu huwezi eka os kwenye simu bila kuflash. simu haiwezi fanya kazi mpaka iflashiwe kwanza
 
Samahani wakuu ni mdau mwenzenu baada ya kuchoshwa na hizi kazi za kikoloni nataka nifungue kaofisi na kutengeneza laptops na simu..naomba kujua ni box gani inayotumika sana kwa sasa yenye uwezo wa ku-flash simu nyingi zaidi...
kwa flashing, unlocking and repair kwa ulimwengu wa simu za kisasa tafuta nck mkuu au avenger.. nck na avenger zote ni box za nck team na zote ziko na same functions na tofauti yao ni kiwa nck unalipia kila mwaka ili ipate activation while avenger ni bureee hakuna activation.. lakin km umeamua kuingia ktk tasnia basi huwezi kufanya kazi kwa box 1 inahitaji box nyingi coz hakuna box iliyojitosheleza.... toa maelezo mahali ulipo na ni cmu gani zipo ktk mzunguko zen ndo tutakushauri vizur
 
Back
Top Bottom