2991
JF-Expert Member
- Feb 3, 2017
- 619
- 628
Duh ndo maana miracle ilikua inaniambia drivers not detected kumbe mpk u install poa poa shukrani kakaa.Kuna niliyemuahidi ningemtumia drivers kwa ajili ya MTK ANDROID bt nkaona niweke hapa atakayehitaji achukue...hyo ALL MTK DRIVER ni general kwa MTK zote na hyo ANDROID CDC ni kwa ajili ya meta connection hasa UNLOCKING coz baadhi ya cmu zinagoma flash mode hadi utumie meta connection
hivi mkuu nimecheki katika nck sehemu ya unlock vodafone wameonyesha hizi tab za vodafone vfd1100 but ina kataa kui unlock inaandika sendin da pls wait naweza pata msaadapassword kwa ajili ya nck samsung module
hivi mkuu nimecheki katika nck sehemu ya unlock vodafone wameonyesha hizi tab za vodafone vfd1100 but ina kataa kui unlock inaandika sendin da pls wait naweza pata msaada
Msaada Ku unlock Vodafone 301 hizi smart Bomba za Voda.
Naifanyia kwenye simu ama humu humu kwenye simuTumia nck then by CPU na kisha chagua cpu yeyote jst weka hata 6572 then meta connection then direct unlock... kwanza drivers
Nck na mtk nini wakuuu nayapenda mambo haya ila mmeniacha mbali sana 2991
Asante mkuu na jiyo nckUnaweza ukayajua bila shida km utafanya kuwa ndo kazi yako, MTK ni mojawapo ya CPU maarufu inayotumiwa na makampuni ya utengenezaji cmu hasa hizi tulizozoea kuziita za kichina.. mfano ni TECNO, XBO, VODAFONE, ALCATEL na nyingine nyingi..
Asante mkuu na jiyo nck
Najua mengi sana kupitia kwako je una crack yakeNck ni mojawapo ya box kwa ajili ya flashing,unlocking and repair....ni mojawapo ya box maarufu na nzuri kwa sababu inapiga kazi na cmu nyingi sana na kwa haraka sana