Msaada: Box gani latest lenye uwezo wa kuflash simu aina nyingi?

Kuflash Simu haiitaji kwa Kiasi kikubwa Kuwa na Boxes
maana almost 70 percent ya simu zina flashika bila kuwa na box
binafs nipo kwenye hii kaz tangu mwaka jana japo tangu nikiwa chuo nilikua naflash simu za wanafunzi ila kiundani nmeanza last year... ningeweza kukushauri mambo kadhaa

miracle box na Volcano ni mabox maarufu sana kwakua yanafanya vitu vingi lakini katika ufanisi wa kutenda kazi hayafai
niamini mkuuu... fuata maelezo ya wakuu waliokwambia uangalie aina simu zinazopatikana maeneo uliyopo.

kama kuna wateja wengi wa simu za kichina kama (spd na MTK) yaani tecno, itel na wengine nakushauri first priority chukua infinity box, option ya pili ningeweza kukushauri iwe miracle box ..
uzuri wa miracle ukilipia inakuja na package ya simu zinazosuport zote , lakini infinity ndio nzuri ila kila aina ya jamii ya simu unalipia kivyake... mfano ili kuflash simu za mtk utalipia huduma ya mtk pia hivyo hivyo kwa qualcom na spd na nokia.
pia hizi simu za kichina linapokuja suala la ku unlock mtandao infinity inafyatua simu za kichina kiurahisi kuliko volcano na miracle....

lakini hayo mabox linapokuja suala la simu za gharama hasa samsung, lg na baadhi ya huawei Hayo mabox hapo juu hayana msaada sana... hapo utahitaji uwe na octoplus, octopus na zx3 ndo yanafaa zaidi

pia ukija kwenye visimu vidogo vya button hasa vya MTK, Coolsand, Spd, mstar na wengine Baba yao ni GPG box... Hili ni very cheap pia lina saidia na zle smartphone low quality za kichina zisizo na 3g, kutoa passwords na vitu vingine...

lakini pia Kuna ishu za ku unlock mtandao watu wanashauri uwe NCK, Sigma key na Furious box (japo mm mwenyewe sijawah tumia

lakini Muhimu Jifunze kuflash smu na Ku repair bila kutumia mabox kwanza ndo utaiva
Mkuu kulipia hayo mabox ina range kiasi gani price yake
 
'cracking world mimi nina software ya miracle box imemodiwa na haihitaji box kuflash naflash simu yoyote ile bila wasiwasi bila box only usb cable na pc.
Package nzima ni 2.5GB ikiwa na collection za required data files,drivers,mod nk.
ninatumia kuondoa partern,kuread partern,gmail,pasword,flashing,unbrick,repair phones software,upgrading,dwngrading,sim card unlocking na vingine vingi.

ukihitaji package hii nicheck inbox kwa bei poa. na pia ni vizuri uje uthibitishe inafanya kazi kweli au la.
Hakuna cha bure au sio mwambie atoe ela
 
hyo link ni NCK BOX ANDROID MTK MODULE CRACKED VERSION..NIMEJITAHIDI KUWEKA NA MAELEZO NDANI YA KILA TOOL NAMNA YA KUTUMIA, UKIKWAMA KUNA MAWASILIANO NDANI YAKE,.. FEEL FREE AT ANY TIME
tiki
 
Samahani wakuu ni mdau mwenzenu baada ya kuchoshwa na hizi kazi za kikoloni nataka nifungue kaofisi na kutengeneza laptops na simu..naomba kujua ni box gani inayotumika sana kwa sasa yenye uwezo wa ku-flash simu nyingi zaidi...
nimekupata ila kuna hizi SPD CHIPSET MPYA KUFANYA BY PASS.zinasumbua mpaka nifanyie ktk miracle 2.hakua uwezekano wa kupata crack toos bos.
 
nauza volcano bei poa 180k.nicheki whatsa kwa 0742317207:
 
Samahani wakuu ni mdau mwenzenu baada ya kuchoshwa na hizi kazi za kikoloni nataka nifungue kaofisi na kutengeneza laptops na simu..naomba kujua ni box gani inayotumika sana kwa sasa yenye uwezo wa ku-flash simu nyingi zaidi...
Hebu tupia na picha ili nipate idea ya hilo box
 
nlikuwa napost links bt network ikazngua nkashindwa, naweka mambo sawa soon
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Kuflash Simu haiitaji kwa Kiasi kikubwa Kuwa na Boxes
maana almost 70 percent ya simu zina flashika bila kuwa na box
binafs nipo kwenye hii kaz tangu mwaka jana japo tangu nikiwa chuo nilikua naflash simu za wanafunzi ila kiundani nmeanza last year... ningeweza kukushauri mambo kadhaa

miracle box na Volcano ni mabox maarufu sana kwakua yanafanya vitu vingi lakini katika ufanisi wa kutenda kazi hayafai
niamini mkuuu... fuata maelezo ya wakuu waliokwambia uangalie aina simu zinazopatikana maeneo uliyopo.

kama kuna wateja wengi wa simu za kichina kama (spd na MTK) yaani tecno, itel na wengine nakushauri first priority chukua infinity box, option ya pili ningeweza kukushauri iwe miracle box ..
uzuri wa miracle ukilipia inakuja na package ya simu zinazosuport zote , lakini infinity ndio nzuri ila kila aina ya jamii ya simu unalipia kivyake... mfano ili kuflash simu za mtk utalipia huduma ya mtk pia hivyo hivyo kwa qualcom na spd na nokia.
pia hizi simu za kichina linapokuja suala la ku unlock mtandao infinity inafyatua simu za kichina kiurahisi kuliko volcano na miracle....

lakini hayo mabox linapokuja suala la simu za gharama hasa samsung, lg na baadhi ya huawei Hayo mabox hapo juu hayana msaada sana... hapo utahitaji uwe na octoplus, octopus na zx3 ndo yanafaa zaidi

pia ukija kwenye visimu vidogo vya button hasa vya MTK, Coolsand, Spd, mstar na wengine Baba yao ni GPG box... Hili ni very cheap pia lina saidia na zle smartphone low quality za kichina zisizo na 3g, kutoa passwords na vitu vingine...

lakini pia Kuna ishu za ku unlock mtandao watu wanashauri uwe NCK, Sigma key na Furious box (japo mm mwenyewe sijawah tumia

lakini Muhimu Jifunze kuflash smu na Ku repair bila kutumia mabox kwanza ndo utaiva
We unajua aisee, hubahatishi. Congrats!!
 
ukiflash simu maana yake unabadili IMEI kama skosei..
sasa hilo tayari ni kosa kisheria katika sheria ya mtandao

sasa kwa ushauri tu mdogo, kimbia usjchanganye n iyo kazi
 
huwa wanatoza bei kulingana na ugumu wa kazi... kuna samsung ambazo ni nyepesi na kuna zinazosumbua..
 
baadhi ya softwares zina maelekezo ndani yake namna ya kuinstall bt nimeshindwa kuandaa maelezo kwa softwares zote.. popote kwenye tatizo tuwasiliane
 
ukiflash simu maana yake unabadili IMEI kama skosei..
sasa hilo tayari ni kosa kisheria katika sheria ya mtandao

sasa kwa ushauri tu mdogo, kimbia usjchanganye n iyo kazi
Kuflash cmu cyokubadili imei, kuflash nikufanya re installation of operating systemambayoni sawa na ku install OS kwenye computer... change of imei ndo kosa
 
links zote ntakazopost ni za 4shared.com coz tayari nina account kule ninayotumia kuhifadhi my documents online, ili uweze kudownload contents kutoka 4shared unahita uwe na account hvyo basi kwa wenye nazo itakuwa rahic kwao bt km huna tumia hii account ambayo nili create kwa ajili ya wote.. USERNAME.. FREESHARE6@GMAIL.COM and PASSWORD..freeshare2017.. kwa wastaarabu watatumia account na kuiacha as ilivyo bt wachache wasiostaarabika watataka kufanya changes kwenye hyo account bt pls tujaribu kuwa wastaarabu wote
 
Back
Top Bottom