Msaada: Box gani latest lenye uwezo wa kuflash simu aina nyingi?

Hapa kwenye kurepair IMEI na kuchange EMEI ndio naomba tofauti yake! Naomba kueleweshwa
Kurepair ni kurudishia IMEI zilizokuja na simu ( simu zinatabia ya kupoteza IMEI, unakuta inasoma 0000)
Kuchange ni kubadilisha IMEI (unaacha kuweka IMEI zilizokuja na simu unaweka IMEI nyingine) Hili ndo kosa kisheria
 
Thanks, hapo umenifumbua kitu ndugu
 
Fungua ofisi uwe unauza simu au vifaa vya simu kisha ntakuelekeza ununue nini na nini vya kuanzia pia nitakua nakufundisha kupitia team viewer au any desk

Uwe na uelewa wa IT japo kidogo lakini pia usiwe mvivu kusoma english
Boss naomb nifundisheee kuflsh simu
 
Swali zuri sana kupata box moja tu kwaajili ya simu nyingi siyo halisia kwa maana huwa halina majawabu ya simu zote zilizoko kwenye soko lako, unahitaji uwekezaji wa kutosha
 
Anahitaji boxes sio chini ya 3 tena zile advanced hasaa..
 
Back
Top Bottom