Msaada: Box gani latest lenye uwezo wa kuflash simu aina nyingi?

Samahani wakuu ni mdau mwenzenu baada ya kuchoshwa na hizi kazi za kikoloni nataka nifungue kaofisi na kutengeneza laptops na simu..naomba kujua ni box gani inayotumika sana kwa sasa yenye uwezo wa ku-flash simu nyingi zaidi...
nitafute 0754 60 45 67
 
kwa sasa box zipo nyingi na sio zote zinaflashi Simu zote.MTK .SPD.Qualcomm. ndio Kazi zilizo sokoni.na Simu nyingi azihitaji box no tools tu unafanya Kazi box kuna kazi zikigoma ndio unatumia box
 
Jaribu version tofaut ya sp flash tool,au inawezekana huna correct rom, pia kumbuka kuto flash preloader

Mkuu kuna unlocked tecno Y3+ (Alinunua mpya dukan ikiwa unlocked inakubali laini zote tayari) ya dogo lang sasa kila nikiweka Flashing file la unlocked tecno Y3+ kwenye SD card ili niflash manually kupitia recovery mode nikimalza ku wipe data na niki select file from SD card ili niflash rom inagoma inaleta ujumbe wa "Installing is Aborted" tatizo nini mkuu?
 
Mkuu sorry me nataka msaada hv inawezekana kufanya Huawei wireless router kutumia mitandao yote ya Vodacom
inawezekana but it depend with model but some all model pass well
fata instruction
1.zima wifi modem
2.andika imei number
3.weka sim card ya mtandao mwingine.(kama ni voda weka airtel au tigo etc)
4.washa na connect wifi network created by your router
5.open http://192.168.8.1 or http://pocket.wifi (itasema Router Locked or invalid Sim )
6.Goto Advance Setting >> sim setting >>Unlock device
7.utapata kibox cha kuweka unlock code.
8. replay imei code hapa nikupe code za kuunlock pamoja na model
 
hebu nicheki pm ili tuulizane na tueleweshane vizur nahc hapa tutakera others who are not interested... au weka phone no nkuchek
hata mm mkuu nahitaji kujua jinsi ya ku unloack simu
0719067839
 
Mkuu kuna unlocked tecno Y3+ (Alinunua mpya dukan ikiwa unlocked inakubali laini zote tayari) ya dogo lang sasa kila nikiweka Flashing file la unlocked tecno Y3+ kwenye SD card ili niflash manually kupitia recovery mode nikimalza ku wipe data na niki select file from SD card ili niflash rom inagoma inaleta ujumbe wa "Installing is Aborted" tatizo nini mkuu?
Flash kwa sp flash tool
 
emegency only Invalide imei.. Tatizo hili nila baseband na kernel linaweza tokea pale mtu anapofanya upgrading or downgrading without proper device ROm. file required(Moderm.img)
First:
1.troubleshooting Device to know Problem resons(hardware of software).
2.If you dont do upgrade/flashing etc. goto hardware
3.in hardware find Baseband ic,
5.if is software issue you can restore /efs folder of you need two files Kernel patch and moderm in zip package copy to sd card then do update from zip start with kernel and then moderm

solved
Mkuu vp kama simu haina memory card slot mfano LG G2.? na network haisomi ila wifi ipo fresh...
 
Mkuu vp kama simu haina memory card slot mfano LG G2.? na network haisomi ila wifi ipo fresh...
naomba unijibu nikupe msaada
1.je awali ilikua na nework?
2.umejaribu kubadili sim card tofauti?
3.Sim card indetect au ina sema no sim card?
4.Angalia sehemu sim card inawekwa kama pin zikosawa, kuna pin imevunjika au kupinda?
 
Flash kwa sp flash tool
tatizo la simu yako kushindwa kufanya update kwa njia iyo ni license(unatumia unsigned files)
unaweza tumia Customer recovery. au MTk tools kufanya shughuli hiyo.?
kwa urahisi unaeza tumia miracle box kwa haraka
 
naomba unijibu nikupe msaada
1.je awali ilikua na nework?
2.umejaribu kubadili sim card tofauti?
3.Sim card indetect au ina sema no sim card?
4.Angalia sehemu sim card inawekwa kama pin zikosawa, kuna pin imevunjika au kupinda?
Simu ilikua inafanya kazi vizuri sema kuna mtu alii upgrade kutoka 4.4.2 kwenda 5.0.1 manually bila kufanya back up kwaio nimefanikiwa kui restore lakini shida ndo ipo hapo network haisomi ila wifi inafanya kazi vizuri
 
oky sawa nimeelewa andika
*#*#4636#*#*
click Phone infomation > alafu
angalia button imeandikwa 'TURN OFF RADIO' i click
subiria dakika 1 kisha bonyeza 'TURN ON RADIO'
simu itarestart tatizo natumaini litaondoka na utapata network

iwapo haitasaidia nijulishe nikupe njia nyingine
 
tatizo la simu yako kushindwa kufanya update kwa njia iyo ni license(unatumia unsigned files)
unaweza tumia Customer recovery. au MTk tools kufanya shughuli hiyo.?
kwa urahisi unaeza tumia miracle box kwa haraka
Poa mkuu shukran kwa maelekezo.
 
inawezekana but it depend with model but some all model pass well
fata instruction
1.zima wifi modem
2.andika imei number
3.weka sim card ya mtandao mwingine.(kama ni voda weka airtel au tigo etc)
4.washa na connect wifi network created by your router
5.open http://192.168.8.1 or http://pocket.wifi (itasema Router Locked or invalid Sim )
6.Goto Advance Setting >> sim setting >>Unlock device
7.utapata kibox cha kuweka unlock code.
8. replay imei code hapa nikupe code za kuunlock pamoja na model
Ngoja nifanye hivyo
 
Kama kuna mtu yuko detailed vizuri na huu mbadala wa box yaani softwares (cracks ) naomba atiririke vizuri ila awe updated na aweke links pia..​
 
Back
Top Bottom