Msaada: Box gani latest lenye uwezo wa kuflash simu aina nyingi?

Msaada: Box gani latest lenye uwezo wa kuflash simu aina nyingi?

Wataalam naomben msaada ninamdogo wangu anapenda ajue huu ujuzi wa phone repairs...aanzie wapi?

Sent from my TECNO-C5 using JamiiForums mobile app
 
Pia kuhusu MTK drivers nashindwa kuziona nikifungua RAR all the time inanipa option ya ku install
mkuu hivi ku flash na ku unlock simu ni lazima uwe una run katika window seven tu ? mimi natumia linux mint na nahitaji kufanya hiyo kazi very soon bado nakamilisha tools tu
 
kwa flashing, unlocking and repair kwa ulimwengu wa simu za kisasa tafuta nck mkuu au avenger.. nck na avenger zote ni box za nck team na zote ziko na same functions na tofauti yao ni kiwa nck unalipia kila mwaka ili ipate activation while avenger ni bureee hakuna activation.. lakin km umeamua kuingia ktk tasnia basi huwezi kufanya kazi kwa box 1 inahitaji box nyingi coz hakuna box iliyojitosheleza.... toa maelezo mahali ulipo na ni cmu gani zipo ktk mzunguko zen ndo tutakushauri vizur
nimekuelewa
 
Mimi natafuta chimera dongle wapi naweza pata hii kitu?, hii ni zaidi ya tools zote ninazozijua
 
Mimi natafuta chimera dongle wapi naweza pata hii kitu?, hii ni zaidi ya tools zote ninazozijua
Njia rahis tengeza account kisha ulipie,then ununue chimera authenticator ila uweze kuchange pc frequent
 
kuna aina tatu za box za kuflashia simu.
kulingana na kiwango cha fundi,na hitaji wa soko

1.kiwango cha chini
kwasimu zakawaida,china-nunua gpg-dragoni-kwa vi itel,na tecno na kenxinda
nunua volcano box kwa china zenye coolsand chips
pia unaweza kununua miracle box -hii ni box nzuri sana

2.Kiwango cha kati.
nunua-nck box-kwa smatphoni [unaweza kuflash na kutoa network lok]
mfano kwa simu za promo,tigo,voda,nk
nunua ATF-BOX kwa nokia zote DUNIANI.
nunua z3x box kwa samsung zote duniani.
pia nunua hua dongle kwa huawei
3.kwa waliokomaaa kiufundi,[programers]
-nunua-riffbox,z3xeasyjtag,medusa,na emmcprotool
kwa simu zilizo kufa kabisa[box hizi ni za jtag&emmc]
-mfc dongle-kwa ajili ya iphone
-ip box kwa ajili ya dead booot
kwa ushauri nunua no 1,na 2 maana ndio ziko sokoni,
pia kumbuka kuna sapot za watengenezaji,unaweza ukanunua box kumbe mzalishaji kishafilisika,mfano gpg dragoni mzalishaji kaFUNGA DUKA lakini nibox nzuri sana

mimi ninayo volcano box na uza tsh;150000/= gpg dragon 200000/=used

pia kama unataka kununua box mpya kwa bei nzuri ni pigie 0763949447,


kunakutumia kokote ulipo,soko la vifaa kwa dar liko juuusana
Mimi nataka unitafutie chimera dongle
 
Nimegundua watu wengi wakisaidiwa hua hawaleti mrejesho kwan sijaona watu wakishukuru kwa msaada waliopatiwa!
 
Natamani sana hizi mambo za software sema sijapataga mtu wa kunisaidia!!
Fungua ofisi uwe unauza simu au vifaa vya simu kisha ntakuelekeza ununue nini na nini vya kuanzia pia nitakua nakufundisha kupitia team viewer au any desk

Uwe na uelewa wa IT japo kidogo lakini pia usiwe mvivu kusoma english
 
sheria gani inayosema kuflash simu ni kosa eti?, nina bachelor ya laws(LLB) na ni fundi cmu.. nijuacho ni kwa sheria ya nchi yetu kubadili imei ndo kosa. kumbuka kuna imei repair na imei change, kurepair imei si kosa bt kuchange imei ndo kosa na c kuflash wala unlock.. acha kupotosha watu hapa
Hapa kwenye kurepair IMEI na kuchange EMEI ndio naomba tofauti yake! Naomba kueleweshwa
 
Back
Top Bottom