Msaada: Box gani latest lenye uwezo wa kuflash simu aina nyingi?

Msaada: Box gani latest lenye uwezo wa kuflash simu aina nyingi?

2991 nimeinstall nck iko fresh nilianza mchakato kwa ku click dump firmware ika operate baadae nimeichomoa kuiwasha bado sehemu ya WiFi inastuck skip haifunction
 
Pia kuhusu MTK drivers nashindwa kuziona nikifungua RAR all the time inanipa option ya ku install
 
2991 nimeinstall nck iko fresh nilianza mchakato kwa ku click dump firmware ika operate baadae nimeichomoa kuiwasha bado sehemu ya WiFi inastuck skip haifunction
dump firmware ni kwa ajili ya kuread phone firmware, we unatakiwa kufananya RESET FRP inapatikana kwenye tab ya services
 
Reset FRP ainiitaji ni browse firmware au scat ya N2
fanya hvyo,hyo cmu yako inadai wifi network kwasababu itakuhitaji ku sign in na google account iliyokuwemo humo kabla ya kufanya data wipe.. jst RESET FRP na baada ya hapo ukifika kwenye wifi itakupa option ya ku skip. huna haja ya kuflash cmu yako
 
Ebana inaniambia phone detected ila please wait inachukua muda mrefu
 
Mkuu 2991 naona kila nikikaribia kumaliza nadondoka ni hivi naingia kwenye service na click Rest FRP inaniambia niingize USB
Naingiza USB inaniambia phone detected data send to DA please wait baadae ya hapo nasubir almost an hour hakuna kinachotokea. Nifanyaje msaaada mkuu
 
driver ndotatizo hapo, una insert usb kwenye cmu ikiwa imewashwa au iko powered off?
 
Hapa kweny driver's Nimeinstall manual lakini nikizichek kwenye device manager sizioni
 
kuna aina tatu za box za kuflashia simu.
kulingana na kiwango cha fundi,na hitaji wa soko

1.kiwango cha chini
kwasimu zakawaida,china-nunua gpg-dragoni-kwa vi itel,na tecno na kenxinda
nunua volcano box kwa china zenye coolsand chips
pia unaweza kununua miracle box -hii ni box nzuri sana

2.Kiwango cha kati.
nunua-nck box-kwa smatphoni [unaweza kuflash na kutoa network lok]
mfano kwa simu za promo,tigo,voda,nk
nunua ATF-BOX kwa nokia zote DUNIANI.
nunua z3x box kwa samsung zote duniani.
pia nunua hua dongle kwa huawei
3.kwa waliokomaaa kiufundi,[programers]
-nunua-riffbox,z3xeasyjtag,medusa,na emmcprotool
kwa simu zilizo kufa kabisa[box hizi ni za jtag&emmc]
-mfc dongle-kwa ajili ya iphone
-ip box kwa ajili ya dead booot
kwa ushauri nunua no 1,na 2 maana ndio ziko sokoni,
pia kumbuka kuna sapot za watengenezaji,unaweza ukanunua box kumbe mzalishaji kishafilisika,mfano gpg dragoni mzalishaji kaFUNGA DUKA lakini nibox nzuri sana

mimi ninayo volcano box na uza tsh;150000/= gpg dragon 200000/=used

pia kama unataka kununua box mpya kwa bei nzuri ni pigie 0763949447,

kunakutumia kokote ulipo,soko la vifaa kwa dar liko juuusana
 
Wakuu msaada tafadhali, hivi hizi simu za promo VFD 200 network lock naweza tua na crack ya box gan?
 
Back
Top Bottom