Msaada: Box gani latest lenye uwezo wa kuflash simu aina nyingi?

Msaada: Box gani latest lenye uwezo wa kuflash simu aina nyingi?

imekubali?

Maana mi nna huawei y520 inaishia kwenye huawei logo tu kisha inazima yaani inajirestart na kuishia kwenye logo nikiconnect kwenye pc haidetect inaniambia "usb not recognized" na hapo ndo nmeinstall driver zote
Hili ndio tatizo la huawei ikataka kuf...utasahau mwenyewe
 
Wakuu,nahitaji INFINITY BOX/NCK box kama kuna mwenye nayo tufanye biashara
 
kikukwel hizi box znanichanganya kwel sabab cjawah kutumia hata moja ila nataman kuzijua vzur tatizo mwl ndo cjamuona
 
kikukwel hizi box znanichanganya kwel sabab cjawah kutumia hata moja ila nataman kuzijua vzur tatizo mwl ndo cjamuona
karibu ofisni kwetu tunatoa mafunzo, si rahisi kazi hiyo hata ukiwa na box zote wengi walinunua na wanaziuza baada ya kuona mauza uza na ugumu wake
 
Wakuu,nahitaji INFINITY BOX/NCK box kama kuna mwenye nayo tufanye biashara
nina nck na avenger zote zinafanana kila kitu bt tofauti ni kuwa nck unafanya activation kila mwaka na inacost kama 35usd kwa mara ya mwisho while avenger ni free kabisaaaaa kwahyo kwa kukushauri chukua avenger.. kuhusu infinity nina smart card peke yake ambayo unaweza ukaweka ktk smart card reader yeyote au ukanunua box bila card ukaweka
 
kwa yeyote atakayehitaji.. kuanzia Z3X ambayo ni pro activated na pia Z3X yenye lg activation only, BEST SMART TOOL, NCK, AVENGER, GPG, CHINA KING,INFINITY(SMART CARD PEKEE).. ZOTE HIZO NI USED
 
karibu ofisni kwetu tunatoa mafunzo, si rahisi kazi hiyo hata ukiwa na box zote wengi walinunua na wanaziuza baada ya kuona mauza uza na ugumu wake
tatizo amboko npo kwasaiv npo Tabora Igunga kwan nyie mnapatikana wap
 
DOWNLOAD dload file unextract copy paste kwenye memory card org ya 2gb unaweza kuflash bila cable
ama jaribu ku safisha usb charge system vizuri ikikataa badili utumie SP TOOL NA FILE HII
【Huawei Detail】 - Huawei Support - Huawei Consumer BG
Mkuu mim nilishaipaki na pemben kabisa hata huwa staki tena habri za huawei,niliwahi kuwa nayo ya zamani kdgo y 300;ilianza kuzima na kujiwasha nikapeleka kwa fundi akaniambia ndio imekufa.so leo huwa nikiiwasha inaonesha tu maalama ya betri rangi kama ya manjano hivi na vialama vya betri katikati.kiufup nilishaikatia tamaa...
 
nina nck na avenger zote zinafanana kila kitu bt tofauti ni kuwa nck unafanya activation kila mwaka na inacost kama 35usd kwa mara ya mwisho while avenger ni free kabisaaaaa kwahyo kwa kukushauri chukua avenger.. kuhusu infinity nina smart card peke yake ambayo unaweza ukaweka ktk smart card reader yeyote au ukanunua box bila card ukaweka
Nahitaji kununua.Tunaweza fanya biashara?
If yes,nipe no.yako ntakupgia
 
Kuflash Simu haiitaji kwa Kiasi kikubwa Kuwa na Boxes
maana almost 70 percent ya simu zina flashika bila kuwa na box
binafs nipo kwenye hii kaz tangu mwaka jana japo tangu nikiwa chuo nilikua naflash simu za wanafunzi ila kiundani nmeanza last year... ningeweza kukushauri mambo kadhaa

miracle box na Volcano ni mabox maarufu sana kwakua yanafanya vitu vingi lakini katika ufanisi wa kutenda kazi hayafai
niamini mkuuu... fuata maelezo ya wakuu waliokwambia uangalie aina simu zinazopatikana maeneo uliyopo.

kama kuna wateja wengi wa simu za kichina kama (spd na MTK) yaani tecno, itel na wengine nakushauri first priority chukua infinity box, option ya pili ningeweza kukushauri iwe miracle box ..
uzuri wa miracle ukilipia inakuja na package ya simu zinazosuport zote , lakini infinity ndio nzuri ila kila aina ya jamii ya simu unalipia kivyake... mfano ili kuflash simu za mtk utalipia huduma ya mtk pia hivyo hivyo kwa qualcom na spd na nokia.
pia hizi simu za kichina linapokuja suala la ku unlock mtandao infinity inafyatua simu za kichina kiurahisi kuliko volcano na miracle....

lakini hayo mabox linapokuja suala la simu za gharama hasa samsung, lg na baadhi ya huawei Hayo mabox hapo juu hayana msaada sana... hapo utahitaji uwe na octoplus, octopus na zx3 ndo yanafaa zaidi

pia ukija kwenye visimu vidogo vya button hasa vya MTK, Coolsand, Spd, mstar na wengine Baba yao ni GPG box... Hili ni very cheap pia lina saidia na zle smartphone low quality za kichina zisizo na 3g, kutoa passwords na vitu vingine...

lakini pia Kuna ishu za ku unlock mtandao watu wanashauri uwe NCK, Sigma key na Furious box (japo mm mwenyewe sijawah tumia

lakini Muhimu Jifunze kuflash smu na Ku repair bila kutumia mabox kwanza ndo utaiva
Nina s5 inaflashika bila box???
 
Hili ndio tatizo la huawei ikataka kuf...utasahau mwenyewe
Mkuu kuna huawei hapa ya rafk angu hizi Y330 za promo za tgo, yaani kila akiiwasha inachukua muda mrefu sana kuwaka normally alafu ina process hii kitu "Android is upgrading....." noma sana inaifanya kuchukua muda zaidi wa kuwaka kawaida, solution ni nini wakuu?
 
Wakuu nina voda phone VF300 nataka kuunlock nitumie laini zoteeee msaada plz
 
Back
Top Bottom