Msaada; asanteni kwa ushauri ila nimetumia dakika tano tu

Msaada; asanteni kwa ushauri ila nimetumia dakika tano tu

blazaaa una walakini kumbe ulikua domo zege... sasa dk.5? naamini hata huo udomo zege haujaisha vizuri... komaa jikazee blaaaza
 
hi mmu. Ni mara nyingi nimekua nikilalamika humu juu ya swala la kuuzwa ama kuchomeshwa mahindi na wadada. Wengi mmenishauri akiwepo mkuu Kilaza alieamua kutupa somo kwa madomo zege asanteni kwa yote.
Kwa ushauri wenu na pamoja na kupitia vizuri uzi wa mkuu Kilaza hatimaye leo nimefanikiwa kumpata na kumpeleka hotel yenye hadhi ya kati, lakini cha kusikitisha nimetumia dakika tano tu kufanya mambo na kila kitu kikaishia hapo(just one goal), sikuweza tena kabisa kufanya chochote.

wadau ndio ilivyo kwa wote ama?
msaada tafathali.

unaitaji juisi ya tangawizi ili uweze kupiga goli zaidi ya moja nicheki hapa 0712505049 gharama za maelezo na maswali toka kwako ni tsh 5000 tu
 
Last edited by a moderator:
unaitaji juisi ya tangawizi ili uweze kupiga goli zaidi ya moja nicheki hapa 0712505049 gharama za maelezo na maswali toka kwako ni tsh 5000 tu

sasa mkuu si umsaidia ndugu yako kwann mpaka pesa hapa jf tunaishi kindugu mkuu toa somo pengine litasaidia watu wengi humu pesa haina thamani kwenye uti
 
Back
Top Bottom