Msaada; asanteni kwa ushauri ila nimetumia dakika tano tu

mkuu kwanza nimefarijika kuwa uzi wangu umekusaidia sasa kwenye kundi letu la madomo zege umeondoka umetuacha

lakini pili nimesikitika kwa fedhea iliyokupata
nikipata muda nitaanzisha uzi natumaini utakusaidia pia lakini kwa sasa mambo hapa wizarani yamenibana siunajua uchaguzi umekaribia na bunge limechachamaa nikileta utani hawa wapinzani wataniondoa

naomba nideal na mambo ya kitaifa kwanza

prof kilaza
 
Hewalaaa basi ndio ipo hivyo hata kwenye dushe

Kibamia ni kiduchu hivyo umbali wa kusafiri kwa wazungu ni mfupi na watatumia muda mduchu...

So dushe ikiwa ndefu...?

Hahahaaaa asa hao wenye vibamiaa si hawafaid mambo
 
Huyu tumboo anapenda sana kubandili ID

Ushangae we mgeni au unazan ni mambo ya double ids mm naomba access toka kwa Invisible ndio nabadil asa wewe unazan kila mtu ana akil zmekaa nyuma ya naniliii kama zako
 
Last edited by a moderator:
Ndio maana hamuolewi mjini!wasichana wazuri mnazeeka tu kumbe kazi yenu ni kupima madushe mjini,tutakutana 45's mshachelewa,

Hahaaaaa utaisoma kwa mbele na kibamia chako lol mie wangu anaridhisha kila idara upo we na kibamia utaishia kuchapiwa kila siku......jipe moyo ivyo ivyoo kua hatuolewi wakat watu tuna wanaume zetu
 
Please please sweetheart calm down wakaushie #team vibamia watakuharibia cku yako!
 
Ushangae we mgeni au unazan ni mambo ya double ids mm naomba access toka kwa Invisible ndio nabadil asa wewe unazan kila mtu ana akil zmekaa nyuma ya naniliii kama zako
mimi
Kutokuwa akili, au akili yangu kukaa sehemu ambaye wewe unaisema haikupuguzii chochote .

kuwa na akili kama hizo siyo kosa langu ni kosa la muumbaji, kama unamtukana yeye ni sawa.

najua nyie wanawake mna mapungufu makubwa sana, ndio maana unacomplain kitu kindogo chakuambiwa wewe ni tumboo, id ambayo ushawahi kuitumia.

watu wanaokaa karibu na wewe lazima watakuwa wamekuchoka na tabia na matusi yako, au unadhani kutukana viungo vya uzazi, watu watukuona una akili timamu.

Nakuonea huruma sana,
 
We dume ndio unamatatizo toka siku ya kwanza tumbo tumboo Kwan kuna aliyekuuliza ungeulizwa sawa au kuna aliekwambia kua nlikua nikitumia id ya tumboo nikabadil ajui kama nmebadil akil zako zipo nyumaa wewe kua na sio kujishobokesha ovyo wengine hatupendi shobo za kishamba
 
kabla ya kuanza kutembea, nilijifunza kutambaa, nikajifunza kutembea, nasasa ninaweza kukimbia. xo its matter of time utajifunza polepole ni mwanzo tu
 
We dume ndio unamatatizo toka siku ya kwanza tumbo tumboo Kwan kuna aliyekuuliza ungeulizwa sawa au kuna aliekwambia kua nlikua nikitumia id ya tumboo nikabadil ajui kama nmebadil akil zako zipo nyumaa wewe kua na sio kujishobokesha ovyo wengine hatupendi shobo za kishamba
Mmmh. Mdada embu kuwa romantic basi
 
Hahaaaaa utaisoma kwa mbele na kibamia chako lol mie wangu anaridhisha kila idara upo we na kibamia utaishia kuchapiwa kila siku......jipe moyo ivyo ivyoo kua hatuolewi wakat watu tuna wanaume zetu

Kama unachapwa vizuri hongera,busara inatuambia wenye nacho hawana kelele,bali madebe matupu~~next time behave kama mama bora mwenye mume mchapaji,maneno yako kwa kuyasoma tu yanakuondolea sifa hizi za msingi,I am not offending u ni ushauri tu mpenzi, KARIBU SWEETHEART
 
sasa domo zege ndo litaota miziz maana umeshapata hofu ya dakika tano so hata salam itakuwa shida ....
 
Man you have been under an intense pressure, you can't perform best under that conditions, wakati mwingine chukulia kwamba ni jambo la kawaida, vuta pumzi ya kutosha, usiwe na haraka, mazoezi ya viungo pia ni muhimu na kula vyakula vya asili, u wil be ok
 
Back
Top Bottom