Honey Faith
JF-Expert Member
- Aug 21, 2013
- 15,782
- 11,838
wewe huwa unapenda ziwe ngapi?
Mhhhhh??swali lako gumu???
wewe huwa unapenda ziwe ngapi?
Tena umejitahidi sana mkubwa kwa dk5 hongera sana wengi dk1 hadi dk3 kwisha kazi
Mhhhhh??swali lako gumu???
Yani dakika tano?
Me Siku ya kwanza nilikaa dk chini ya 3;Sasahivi hata dk 45 nafika.Kuna literatures nyingi za kusoma namna ya kuji-control ili ukae muda mrefu.Jipe moya na siku 1 utakaa hadi ufukuzwe/ukimbiwe
ahahaha ni balaa
hahhha unavoshangaaa.... ulizan masaa!!! ata kuku anajitahid
Inawezekana pia ndani ya hizo 5 demu karidhika
sasa udomo zege kwisha kinachofuatia jifunze stamina uwe mzinzi kamili. Wengine tupo ktk harakati za kuachana na hizo habari kwa sala na maombi
Hawezi ridhika.Wataalam wanasema mwanamke akiandaliwa vizuri.Anaridhika baada ya dk 11!
Hahahaha sasa wewe una utani na mgonjwa wetu
Mhhhhh??swali lako gumu???
Ushauri wangu ni huu.
1.Acha wasi wasi eneo la tukio.Tulia&Jiamini,epuka papara.
2.Kuna vyakula kama Tangawizi&pilipil.........,....,.... vinaongeza msukumo wa Damu na hivyo kukuwezesha kurudia round ya pili,tatu ......
Most of wanaume ni lazima kuna interval kidogo ya break kila baada ya round(bao.....),ni wachache wanaweza uunganisha rotations.Ukimaliza round ya kwanza,mzee kulala is normal ,jifanye unampigisha story then mzee ata-erec.....
3.Nenda google search literatures with a title "How to last longer on bed ...".
Usibishe sana. Kama umekuwa mzinzi na wadada wengi utajua kuwa asemacho kina ukweli. Wapo wanaofika eldoret in two mins, wakati wapo wanaokesha hadi unahisi upo na mtu asiye na hisia...! Watu hutofautiana kwa mengi....!
Hahahaha sasa wewe una utani na mgonjwa wetu
sasa udomo zege kwisha kinachofuatia jifunze stamina uwe mzinzi kamili. Wengine tupo ktk harakati za kuachana na hizo habari kwa sala na maombi
ah mgonjwa anapapala tu, ile kitu unatakiwa utulie kwanza...
Hahah...mbona dk 5 uliweza kuziona chache..
Niambie basi hata kwa kuning'ata sikio...