Mrisho Mpoto, pumba tupu

Mrisho Mpoto, pumba tupu

Ni kweli nimeishiwa, kama hwa hapa chini........

uvccm_wakipigana.jpg

Naona umeishiwa na hoja.
 
Tutampanguwa katika kura za maoni, hana akili ya kuwa mbunge wa CCM, ahamie chadema, walikojazana tuliwaenguwa kwenye kura za maoni, mfano mzuri ni Dokta wa kanoni na gongo, Slaa.

Wewe bibi unapenda sana kutukanwa.. hivi kwanini wamama wagumba mnaroho mbaya sana
 
Ni binadamu..Alijitahidi kwa upande wake..Hata alipoachia madaraka alikiri..Nakumbuka alisema hivi..
Serikali ya awamu ya kwanza imefanya mazuri na ya kijinga pia..Ila ubaya wetu tunaacha mazuri tunachukua ya kijinga..


Dada FaizaFoxy tatizo la Mpoto amechukua tabia ya CCM ."Kujisifu uongo"

Kweli anajisifu kwa mambo ambayo hajafanya,Lakini hakuwa hivi..Hii ni baada ya kampeni za CCM.. 😉

Naona unajitahidi huu mjadala kuwa ni wa CCM? hapa anaongelewa Mpoto, si chama chake. Kumbuka hilo.
 
si kila anayekupijia makof wanafurah wengne wanataka umalize maongez
 
Labda unifundishe maana nimeeleza vielelezo viwili tu vya utamaduni ambao ni Lugha na mavazi wewe waweza kuongezea vingine au ukavikataa nilivyoeleza na kufundisha vya kwako kwa faida ya wengi kusema tru kwamba ninaelewa utamaduni na sifa zake it is 2 general

Ok ntakufunza kidogo.....Utamaduni ni vile watu wanavyoishi......viashiria vya utamaduni ni kama vyakula,mavazi,lugha,sanaa,imani n.k.......sifa kubwa ya utamaduni ni kubadilika 'dynamism'.....mfano lugha ya kiswahili ulivyotumika wakati wa miaka ya arobaini ni tofauti na kiswahili cha mwaka 2000....au alivyovaa kijana msichana mtanzania wa mwaka 1850 ni tofauti na wa sasa 2014..Utamaduni 'culture' unatabia ya kubadilika,mila 'traditions' zinatabia ya kubaki zilivyo....watu wengi uchanganya hivi vitu....na kichwa kitupu kilichokosa na shule kama mpoto ndio kinaropokaropoka tu wakati hakijui chochote
 
Nimejaribu kuonyesha chanzo cha tatizo Dada FaizaFoxy ..Lazima ukweli usemwe ..

Mpoto ameharibiwa na Siasa..

Binaadam haharibiwi na chama chake, unataka kuniambia kuwa Slaa kwa kupora mke wa mtu na kutelekeza watoto mpaka kashtakiwa ni chadema imemharibu? au Mbowe kwenda na kimada Dubai ni chadema imewaharibu?

Kama ameharibika basi ni yeye na si chama chake.
 
Hii thread juzi ilikua inaongelea habari za Mrisho Mpoto kunani leo mbona mara C.C.M mara CHADEMA?
 
Jamani punguzeni lawama mpoto nae ni binadamu hvy huenda labda alipitiwa so just forgive him
 
Back
Top Bottom