Simpendi kama nisivyompenda jongoo
Kitoto kidogo au kijike kidogo kuna vidume mbegu fupi kondefu kama kabint cha 15yrs kumbe kina 30plushuyu jamaa nlimshusha thamani kuna siku nimemuona viwanja ea starehe akiwa kakikumbatia kitoto kidoooogo. kama huo ndio utamaduni basi sawa
Anajisifu sana huyu kenge....kuna mtu niliwahi kumwambia huyu jamaa haishi uhalisia wake,yaani anataka kuish maisha fulani,mwishowe anaishia kuishi fake life....
Kuna siku nilipanda nae ndege ya kampuni ya As Salaam kwenda Zenji,anatembea peku na mashuka ya ajabu anafikiri ndio utamaduni...huyu ni mchumia tumbo kama wengine,wale wanaofuga rasta ili wapate vizee vya.kizungu...he is not cultural in deeds
Kwahyo utamaduni Wa MTANZANIA NI KUTEMBEA PEKUPEKU? maana hata mwanzo alikuwa akitembea tumbo wazi na KIKAPTULA,,,nilimsikia siku moja anahojiwa ktk TV anaongea PUMBA TUPU,,Ni kweli ameongea. Amejitahidi sana kutrejesha utamaduni unaopotea hasa kwenye lugha na mavazi. Ninavyoangalia avatar yako naona na wewe u mkimbizi wa utamaduni hasa kwenye mavazi, umevaa UARABU wakati wewe ni Mtanzania
ITV na TBC kuna tofauti ganiSasa kama ITV haionyeshwi tena na tunalazimishwa kuangalia TBC nitafanyaje?