Mrisho Mpoto, pumba tupu

Mrisho Mpoto, pumba tupu

Huyo ndie mgombea ubunge jimbo la Namtumbo kwa tiketi ya ccm 2015, wapiga kura jiandeni sana
 
Huyo ndie mgombea ubunge jimbo la Namtumbo kwa tiketi ya ccm 2015, wapiga kura jiandeni sana

Tutampanguwa katika kura za maoni, hana akili ya kuwa mbunge wa CCM, ahamie chadema, walikojazana tuliwaenguwa kwenye kura za maoni, mfano mzuri ni Dokta wa kanoni na gongo, Slaa.
 
Tutampanguwa katika kura za maoni, hana akili ya kuwa mbunge wa CCM, ahamie chadema, walikojazana tuliwaenguwa kwenye kura za maoni, mfano mzuri ni Dokta wa kanoni na gongo, Slaa.

Faiza hakuna mwenye jeuri ya kumtosa Mpoto kama atakuwa anapendwa na wananchi wake.kwani sasa hivi chama chetu ccm tunawaiga cdm kwa kupitisha vijana wasanii kama alivyo Mpoto.
 
Matusi ya rejareja nayo ni matusi tu Mamie. Jifunze kujadiliana bila ghadhabu na kama huwezi basi njia nyeupe.

Nimeshasikia matusi mengi sana na kama huamini, hebu msikilize Tyson na jipime kama unaweza kumzidi mara mbili.

WARNING: For your own RISK, Open it: http://www.youtube.com/watch?v=hx66LWV-CCk
Hujatukanwa unalalama kuwa umetukanwa, jee, ukitukanwa si utasema umepigwa bomu.
 
namvyomjua mpoto..

ni mnafiki na mtu wa misifa tu.. tena masifa ya kijinga yasiyo na mbele wala nyuma. Hana lolote.. I wish angepita hapa aone huu uzi.
 
Faiza hakuna mwenye jeuri ya kumtosa Mpoto kama atakuwa anapendwa na wananchi wake.kwani sasa hivi chama chetu ccm tunawaiga cdm kwa kupitisha vijana wasanii kama alivyo Mpoto.

Mpoto ni majanga.
 
Nyerere alianzisha CCM lakini sioni moja la maana alilolifanya na kila siku namponda, au hulijui hilo?
FaizaFoxy Moja la maana ni kuanzisha CCM..

Mpoto si mwenzenu?!! hahaha 😀
 
Last edited by a moderator:
FaizaFoxy Moja la maana ni kuanzisha CCM..

Mpoto si mwenzenu?!! hahaha 😀

Kuanzisha CCM kungekuwa kuna maana sana angefanya ya maana ndani ya CCM, alichokifanya ni kuiuwa nchi na kuiacha hohe hahe.
 
Sahihisho, kanzu na burqah ni sehemu pia ya tamaduni za Waswahili, nadhani FaizaFoxy nae yumo katika kundi la hao Waswahili.

Usisahau kuwa kanzu ni tamaduni pia ya Kanisa Katoliki, kama unabisha google "Pengo" uone anavyovaa.
 
Mpoto kama JANGA na MUISLAAM, ndiyo anafaa kabisa kuwa CCM.

"Jamani CCM tamu, Pull to the Bumper Baby..............."

IMG_6059.jpg

Mpoto ni majanga.
 
Mpoto kama JANGA na MUISLAAM, ndiyo anafaa kabisa kuwa CCM.

"Jamani CCM tamu, Pull to the Bumper Baby..............."

Unaendelea kuonesha upunguani wako. Hata wanaokusoma wanakushangaa, Uislaam na CCM imehusu nini?
 
Kuanzisha CCM kungekuwa kuna maana sana angefanya ya maana ndani ya CCM, alichokifanya ni kuiuwa nchi na kuiacha hohe hahe.

Ni binadamu..Alijitahidi kwa upande wake..Hata alipoachia madaraka alikiri..Nakumbuka alisema hivi..
Serikali ya awamu ya kwanza imefanya mazuri na ya kijinga pia..Ila ubaya wetu tunaacha mazuri tunachukua ya kijinga..

Dada FaizaFoxy tatizo la Mpoto amechukua tabia ya CCM ."Kujisifu uongo"

Kweli anajisifu kwa mambo ambayo hajafanya,Lakini hakuwa hivi..Hii ni baada ya kampeni za CCM.. 😉
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom